Habari zenu wanajamii.
Nimeanza maandalizi ya kufungua mradi wa usambazaji wa maziwa fresh kutoka kwa wakulima
hadi kwa walaji hapa mujini.
Natafuta storage facilities namaanisha tenki la ujazo wa lita kuanzia 1000 lenye uwezo wa kupoza maziwa kwa umeme wa
Tanesco or stand by generator.Naombeni kujua wapi yanapatikana either for renting or selling.
Mheshimiwa ntakuwa nayatoa Gailo katikati ya Dodoma na Morogoro kwa wafugaji nayaleta Dar Es Salaam.
Tafadhali kama unafahamu wapi naweza kupata storage tank for lease or buying nitashukuru msaada wako.
yanauzwa/yanasambazwa yakiwa packed kwenye madumu/magaloni ya 10,20,6o,120 liters huku yakiwa bado fresh.
So a tank of 1,000liters with cooling system that i am looking to lease or to buy is for collecting milk from farmers at site.
your wish is to distribute fresh milk ..... is it raw milk or pasteurized milk ?
Lughe ... process raw milk and get butter and cheese then sell pasteurized milk as the end product .... rather than selling raw milk .... even arabs do not sell crude oil .... they process and get gasoline, diesel and kerosene