Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thanks mkuu nimekuelewa vipi je na ukiwa na gari la kukodisha means unafanya kazi za kukodiwa
thanks mkuu nimekuelewa vipi je na ukiwa na gari la kukodisha means unafanya kazi za kukodiwa
Mkuu nimekupata lakini inalipaa ?Binafsi niko kwenye utalii na ndio shughuli inayaniweka mjini hapa, kwa 20m kwanza huwez kupata gari ya kufanyia kaz ama ukipata itakuwa ni spana mkononi ambao huo ni utalii wa zamani sana... sasa basi kama unataka kuinvest kwenye hii sekta na hutaki kuhusika wewe tafuta gari yako nzuri either cruser ama land rover iliyoko kwenye hali nzuri then kodishia kampuni yoyote watakulipa vizuri tu coz kampuni uliyoikodishia gari lako watakuwa responsible na service ya hilo gari coz wanalitumia wao... so utakuwa anamake money ukiwa sebleni kwako
Nadhani umenipata...