Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali itatulisha, uwezo wetu wa kununua mboga ndiyo huo.Katika Jiji la Dar es Salaam ambalo kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi wapo wakazi zaidi ya Milioni sita, shughuli mbalimbali za kibiashara zimekuwa zikifanyika kama sehemu ya Watu kujipatia kipato.
Hata hivyo, miongoni mwa biashara ambazo zimekuwa zikifanyika nyingine uibua wasiwasi na maswali juu ya usalama wake kwa walaji licha ya kuwaongezea watu kipato.
Udadisi maalumu nilioufanyaka katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam unabaini kumekuwepo na ongezeko la biashara ya kuku hasa wa kisasa, jambo ambalo limeonekana kuwa fursa kwa wafugaji na kutanua wigo wa fursa kwa baadhi ya Wafanyabiashara wadogo wadogo kuanza kuuza utumbo pamoja na vitu vingine vya ndani.
Licha ya kuwaingizia kipato, udadisi unabaini baadhi ya Watu wamekuwa wakichinjia Kuku katika mazingira yasiyo salama na kupeleka bidhaa hizo sokoni kulingana na uhitaji.
Lakini mashaka zaidi yanaibuka katika uchinjaji huo, ambapo wahusika wamekuwa wakitunza utumbo na vitu vingine vya ndani katika mazingira yasiyo salama kwa ajili ya kuwauzia wateja wao ambao wamekuwa wakikaanga kwa ajili ya biashara katika maeneo mbalimbali, huku wengine wakizunguka na ndoo mitaani wakiuza ambao haujakaangwa.
Udadisi katika maeneo mbalimbali ya Dar unabaini baadhi ya Wafanyabiashara wa utumbo wengine huweka oda kwa wauzaji wa kuku kwenye masoko na mabanda ya kibiashara ambayo uuza kuku na kutoa huduma ya kuchinjiwa, lakini uchunguzi unabaini utumbo huo umekuwa ukihifadhiwa katika mazingira ambayo sio salama kabla ya kuchukuliwa hata baada.
Kutokana na hali ya maisha kiuchumi hasa kwa baadhi ya Wananchi ikiwemo Watoto wamekuwa sehemu ya walaji wa utumbo ambao mara nyingi uonekana sio salama kutokana na kutoandaliwa katika mazingira rafiki, huku wauzaji wengine wakitembeza kwenye ndoo kuanzia asubuhi hadi jioni na ikitokea soko limeenda vibaya ulazimika kuukaanga kwa ajili ya kuuza.
Wapo baadhi ya wananchi ambao wanakili wazi kuumwa matumbo kutokana na ulaji wa utumbo ambao uhisiwa kuandaliwa katika mazingira yasiyo salama hususani maeneo ya 'uswahilini'.
Wito wangu kwa mamlaka ni muhimu wakafuatilia kiundani suala hilo na hususani maafisa afya uenda kukawepo watu wengi ambao wamepata changamoto kutokana na biashara hiyo, lakini ni muhimu kuhamasisha utaratibu salama wa uchinjaji au kama biashara hiyo tumeamua kuihalalisha basi wahusika wasisitizwe kuzingatia usaleama wa walaji.
Hata vyakula vinavyotupwa majalalani tunakula na bado tunadunda.Utakulaje utumbo wa kuku? Umasikini na ujinga ni mbaya sana
Ukiona waru wanakula utumbo wa kuku ujue vipato vyao bado ni duni sana. Bora nchi ilipokuwa imefika uchumi wa kati walau maisha yalikuwa mazuri kuluko sasa.Katika Jiji la Dar es Salaam ambalo kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi wapo wakazi zaidi ya Milioni sita, shughuli mbalimbali za kibiashara zimekuwa zikifanyika kama sehemu ya Watu kujipatia kipato.
Hata hivyo, miongoni mwa biashara ambazo zimekuwa zikifanyika nyingine uibua wasiwasi na maswali juu ya usalama wake kwa walaji licha ya kuwaongezea watu kipato.
Udadisi maalumu nilioufanyaka katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam unabaini kumekuwepo na ongezeko la biashara ya kuku hasa wa kisasa, jambo ambalo limeonekana kuwa fursa kwa wafugaji na kutanua wigo wa fursa kwa baadhi ya Wafanyabiashara wadogo wadogo kuanza kuuza utumbo pamoja na vitu vingine vya ndani.
Licha ya kuwaingizia kipato, udadisi unabaini baadhi ya Watu wamekuwa wakichinjia Kuku katika mazingira yasiyo salama na kupeleka bidhaa hizo sokoni kulingana na uhitaji.
Lakini mashaka zaidi yanaibuka katika uchinjaji huo, ambapo wahusika wamekuwa wakitunza utumbo na vitu vingine vya ndani katika mazingira yasiyo salama kwa ajili ya kuwauzia wateja wao ambao wamekuwa wakikaanga kwa ajili ya biashara katika maeneo mbalimbali, huku wengine wakizunguka na ndoo mitaani wakiuza ambao haujakaangwa.
Udadisi katika maeneo mbalimbali ya Dar unabaini baadhi ya Wafanyabiashara wa utumbo wengine huweka oda kwa wauzaji wa kuku kwenye masoko na mabanda ya kibiashara ambayo uuza kuku na kutoa huduma ya kuchinjiwa, lakini uchunguzi unabaini utumbo huo umekuwa ukihifadhiwa katika mazingira ambayo sio salama kabla ya kuchukuliwa hata baada.
Kutokana na hali ya maisha kiuchumi hasa kwa baadhi ya Wananchi ikiwemo Watoto wamekuwa sehemu ya walaji wa utumbo ambao mara nyingi uonekana sio salama kutokana na kutoandaliwa katika mazingira rafiki, huku wauzaji wengine wakitembeza kwenye ndoo kuanzia asubuhi hadi jioni na ikitokea soko limeenda vibaya ulazimika kuukaanga kwa ajili ya kuuza.
Wapo baadhi ya wananchi ambao wanakili wazi kuumwa matumbo kutokana na ulaji wa utumbo ambao uhisiwa kuandaliwa katika mazingira yasiyo salama hususani maeneo ya 'uswahilini'.
Wito wangu kwa mamlaka ni muhimu wakafuatilia kiundani suala hilo na hususani maafisa afya uenda kukawepo watu wengi ambao wamepata changamoto kutokana na biashara hiyo, lakini ni muhimu kuhamasisha utaratibu salama wa uchinjaji au kama biashara hiyo tumeamua kuihalalisha basi wahusika wasisitizwe kuzingatia usalama wa walaji.
Mwachiluwi, Mzee wa utumbo wa nguku😀😀😀😀wewe unatumia utumbo? mbna sis walaji hatuongei wala kulalamika ww si unakulaga baga
Kwahiyo unajisifia ujinga??? Watu weusi mna laana isiyoondoka leoHata vyakula vinavyotupwa majalalani tunakula na bado tunadunda.
Ahahahahha acha nile kiyoyonziMwachiluwi, Mzee wa utumbo wa nguku😀😀😀😀
Wa nguku mwanedu!!Mwachiluwi, Mzee wa utumbo wa nguku😀😀😀😀
DaahTuache na maisha yetu. Hivi unajua kwa nini uswazi supu ya ngombe ya jero unajaza bakuli? Zile ni ng'ombe zilizojifia zenyewe kwa magonjwa huko vingunguti, tunakula na tunatamba nazo na Wala hatuugui sio shida zetu.
Huku kwetu usafi wa chakula tunapima baada ya kula, yaani kama tumbo haliumi na sijaaharisha hiko chakula ni kisafi regardless kimehifadhiwa au kutengenezwa katika mazingirq Gani.
Ndio mana watoto wa huku kwetu wakizamia sherehe za kishua siku ya pili wanaumwa matumbo maana mwili unakuwa umeingiza vitu ambavyo havitambuliki.
Wenye laana viongozi wetu wanaotunyima vyakula tunavyoletewa bure na wazungu.Kwahiyo unajisifia ujinga??? Watu weusi mna laana isiyoondoka leo