Biashara ya utumbo wa kuku Dar inahatarisha Afya za Walaji, Mamlaka chukueni hatua

Si ajabu mabibi na na bwana afya nao huwa ni wateja wa hayo mautumbo.
 
Nimekuwa nikijiuliza vitambi vya ajabu ajabu vinatoka wapi kumbe kuna dili la utumbo wa kuku watu wanautia hadi pilipili na kuufunga miguu na vichwa , nimekumbuka nikiwa madizini pale moro town nikapita chaka ilo nakuta wanaandaa utumbo wa onkionki kwa ajili ya supu nilishangaa sana jambo hilo
 
Matumbo,mashingo,vichwa na miguu ya kuku ndo chakula cha wa darslaam wengi.
 
Utakulaje utumbo wa kuku? Umasikini na ujinga ni mbaya sana
 
Serikali itatulisha, uwezo wetu wa kununua mboga ndiyo huo.
 
Ukiona waru wanakula utumbo wa kuku ujue vipato vyao bado ni duni sana. Bora nchi ilipokuwa imefika uchumi wa kati walau maisha yalikuwa mazuri kuluko sasa.
 
Daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…