Biashara ya utumwa ilivyoathiri Afrika

Biashara ya utumwa ilivyoathiri Afrika

Afrika inajulikana kwa umasikini lakini watu wengi hawaelewi ni kwanini Afika ni masikini sana. Wengi wanafikiria rushwa na nguvu za nje zimesababisha umasikini wa Afrika.

Nguvu kubwa za nje zilisababisha haya kuanzia karne ya 14, Nchi za Magharibi na Ufalme wa Ottoman
 
Kwa wewe ku play video yako ya dakika 40 Hamna shida Ila Niko vby mamdogo fanya fanya hata buku halotel Nije pm

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mahubiri fulani nimewahi kusikiliza wakiwa wanamtakasa mwarabu na kusema eti wao hawakuhusika kabisa kwenye hiyo biashara haramu bali walikuwa wanahubiri dini tu🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Afrika inajulikana kwa umasikini lakini watu wengi hawaelewi ni kwanini Afika ni masikini sana.
Sijaangalia video lakini kujibu hapa kwanini Afrika ni masikini.

Afrika ni masikini kwa sababu ya tabia za asili za waafrika wenyewe tukiachana na elimu na akili ambazo wengi hudhani wazungu wanazo kutuzidi kinachotucost ni asili yetu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom