Biashara ya Utumwa:Mfalme wa Udachi aomba radhi.

Biashara ya Utumwa:Mfalme wa Udachi aomba radhi.

History tulifundishwa moja kati ya mbinu walizotumia wakoloni kututawala ni (divide and rule ) hio wamafanikiwa mpk leo
Hatuna umoja tunachukiana kisa dini na chuki hizi ni za upande wa ukristo ndio mmepumbazwa xnaa mpk kufikia hatua hamuoni ubaya wa hao wakoloni.
Unakuta jitu kila cku anafungua uzi kuwatukana waislam na waarabu
 
Naamini ipo siku Wazungu watakuja kutumikishwa na Mwafrika,. FACTOR ni Wazungu wanapoteza ulijali na nguvu kazi sababu ya Homosexuality. Pia uzazi umeshuka Sana. Watakuwa na nguvu za sayansi wakati manpower ina collapse
Duh!...
 
Nasema hivi hata Leo hii biasharaa ya utumwa ikirudi Tena kwa hiari hakuna mwafrika atabakia Afrika hata hizo meli hazitotosha kusomba watu,Kama Leo maelfu ya vijana Kila siku kutwa kuzururusha kwenye ofisi za balozi zao wanapambania viza waende ulaya plus wale waendao kwa njia ya panya huku wengi wakifa baharini utasemaje utumwa umeisha huku ndoto za wengi ni kuzamia Ulaya.
Umewaza kweli.Ahsante.
 
Meli inaitwa jesus na hapo mataifa yaliyotajwa yote ni ya ulaya ila mitanzania yenye chuki na upumbav itaanza wasema waarabu [emoji23][emoji23]yaani alituloga waafrica kafa mda mrefu xnaa
Hao watumwa walioenda uarabuni wapo wapi kizazi chao.
Wote walipandwa ili wasizae
 
Waarabu nao waombe msamaha madalali wa biashara ya watumwa.
Mwafrika ndie aliyependa kuchukuliwa utumwani iweje mtu mmoja anaswaga watu mia 2.
Mwarabu hakuingia field kukamata mtumwa bali mwafrika ndie aliyemuuza mwafrika mwenzake kwa muarabu kwa tamaa sawa na ilivyo Leo.
 
Waafrika tuliishayakanyaga.

Kwa mtazamo wangu, kutumikishana ni pale mmoja anakuwa ana akili na mwingine ni mjinga.

Miaka ile Waingereza waliitawala robo tatu ya dunia mpaka unashangaa mababu wetu walikuwa wajinga kiasi gani! Unakuta mzungu mmoja anawalinda Waafrika kadhaa na hakuna Mwafrika anayefurukuta.

Hata leo hii Waafrika tunaendelea kutumikishana ndani ya nchi zetu na hakuna anayefurukuta.

Wazungu wanatengeneza mazingira ya kuendelea kututawala hata wakiwa wachache. Kwa mfano, sisi Watanzania tunawezaje kuja kuwatumikisha Wazungu au Waarabu ikiwa wanatudai pesa nyingi na tunaendelea kuwaomba misaada?

Je, Waafrika tuna ujasiri wa kukataa kulipa madeni ya nje?








Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hata Sasa maelfu ya waafrika wanatamani kwenda utumwani ulaya kuliko kuzijenga nchi zao
 
Kizazi Cha watumwa kilichopo america na latin America ujiona Bora zaidi kuliko waafrika
 
Biashara ya utumwa haijakoma hata Sasa maelfu ya waafrika wanasafirishwa Kama wakimbizi toka makambi ya wakimbizi na kupewa uraia nchi za ulaya, Canada, USA.
 
Afadhali wameomba radhi ila Bado wanatutawala kwa kutumia akili, Kuna kipindi nchi za kiafrika walikutana wadai fidia ila baadhi ya nchi kwa makusudi wakavuruga mkutano kwa kuingiza swala la Palestinia na Israel
Ni Upuuzi kuomba Msamaha kwani Kila mtu atabeba Msalaba wake Mwenyewe...
 
Amefanya vyema.
Pia bado mataifa mengi yanatakiwa kufikia hatua ya kuomba radhi na kufanya reparations.
Spain
Portugal
Middle East Arabs( Hawa walikuwa suppliers kutoka East Africa).
England hawa ndo walikuwa washenzi zaidi
Na miafrika baadhi ilishiriki kuuza wenzao
Wasiishie kuomba msamaha,walipe fidia pia.
 
Radhi kavukavu huku faida anatanua mwenyewe! Alete faida tugawane ndo tujue anamaanisha.
 
FACTOR ni Wazungu wanapoteza ulijali na nguvu kazi sababu ya Homosexuality.
Usilolijua sio kwamba napigia chapuo masuala ya upinde Ila mgunduzi wa sayansi ya kompyuta ambayo leo wewe unatumia internet kujibu maoni JF kupitia world wide web jamaa alikua ni homosexual I mean the father of computer science was a homosexual person, na aliitwa Alan Turing
 
Meli maarufu kwa jina la "JESUS " Ndo chanzo cha faida ndefu, saiz meli hiyo still inapiga kazi na kutoa faida kwa watu kwa namna tofauti
View attachment 2675878
Mfalme wa Udachi (Netherlands) ameomba radhi kutokana na nchi hiyo kupata faida kubwa iliyotokana na biashara ya kuuza watu mnamo karne ya 17.
Katika hotuba yake kwa taifa kuadhimisha miaka 160 tangu kupigwa marufuku kwa biashara hiyo, mfalme Willem-Alexander akiambatana na mkewe bi Maxima amesema nchi yake ilisafirisha na kuuza watu duniani kote kabla ya marufuku hiyo
Katika mapitio ya kumbukumbu za biashara hiyo imejulikana kuwa Udachi ilipata jumla ya dola milioni 595 baina ya mwaka 1675 na 1770 kwa kusafirisha waumwa wasiopungua 600,000.
Maelfu ya waafrika walinunuliwa na kusafirishwa kwenda makoloni ya Udachi yaliyokuwa visiwa vya Carribean na Amerika ya kusini, hata hivyo hiyo ilikuwa ni asilimia 5 ya biashara yote ya utumwa..Sehemu kubwa ilikuwa ni biashara ya Uiengereza na Marekani ambapo meli iliyokuwa ikibeba watumwa ya ufalme wa Uiengereza iliyoitwa Jesus ilipewa nishani kwa kuleta faida kubwa iliyotokana na biashara hiyo ya utumwa duniani.
Waiengereza walinunua watumwa wengi kutoka Afrika ya magharibi huku wachache wakiwatoa kutoka Afrika Mashariki.
Biashara ya utumwa Afrika mashariki ilifanyika katika muda wa karibu na kupigwa marufuku kwa biashara hiyo mwaka 1863 wakati wa utawala wa ufalme wa Zanzibar ulioanza mwaka 1832.
.Waiengereza waliamua kusitisha biashara hiyo baada ya uvumbuzi mkubwa wa mitambo iliyofanya kazi zilizofanywa na watumwa kwenye makoloni yao na kupelekea kusafirisha watumwa na kuwatunza kuwa ni ghali zaidi
 
Usilolijua sio kwamba napigia chapuo masuala ya upinde Ila mgunduzi wa sayansi ya kompyuta ambayo leo wewe unatumia internet kujibu maoni JF kupitia world wide web jamaa alikua ni homosexual I mean the father of computer science was a homosexual person, na aliitwa Alan Turing
Hii inafikirisha sana
 
Watumwa hawakupelekwa Uarabuni.Walipelekwa America ya kusini na Carribean.
Nadhani mnachanganya mambo; hao waliokwenda America na Carribean sio wa kutoka East Africa; hao ni wa West Africa. Wazungu hawakufanya biashara ya utumwa East Africa; uzi si umeonesha hivo. Huku tulikua na Waarabu.
 
Back
Top Bottom