Biashara ya Utumwa:Mfalme wa Udachi aomba radhi.

History tulifundishwa moja kati ya mbinu walizotumia wakoloni kututawala ni (divide and rule ) hio wamafanikiwa mpk leo
Hatuna umoja tunachukiana kisa dini na chuki hizi ni za upande wa ukristo ndio mmepumbazwa xnaa mpk kufikia hatua hamuoni ubaya wa hao wakoloni.
Unakuta jitu kila cku anafungua uzi kuwatukana waislam na waarabu
 
Naamini ipo siku Wazungu watakuja kutumikishwa na Mwafrika,. FACTOR ni Wazungu wanapoteza ulijali na nguvu kazi sababu ya Homosexuality. Pia uzazi umeshuka Sana. Watakuwa na nguvu za sayansi wakati manpower ina collapse
Duh!...
 
Umewaza kweli.Ahsante.
 
Meli inaitwa jesus na hapo mataifa yaliyotajwa yote ni ya ulaya ila mitanzania yenye chuki na upumbav itaanza wasema waarabu [emoji23][emoji23]yaani alituloga waafrica kafa mda mrefu xnaa
Hao watumwa walioenda uarabuni wapo wapi kizazi chao.
Wote walipandwa ili wasizae
 
Waarabu nao waombe msamaha madalali wa biashara ya watumwa.
Mwafrika ndie aliyependa kuchukuliwa utumwani iweje mtu mmoja anaswaga watu mia 2.
Mwarabu hakuingia field kukamata mtumwa bali mwafrika ndie aliyemuuza mwafrika mwenzake kwa muarabu kwa tamaa sawa na ilivyo Leo.
 
Hata Sasa maelfu ya waafrika wanatamani kwenda utumwani ulaya kuliko kuzijenga nchi zao
 
Kizazi Cha watumwa kilichopo america na latin America ujiona Bora zaidi kuliko waafrika
 
Biashara ya utumwa haijakoma hata Sasa maelfu ya waafrika wanasafirishwa Kama wakimbizi toka makambi ya wakimbizi na kupewa uraia nchi za ulaya, Canada, USA.
 
Afadhali wameomba radhi ila Bado wanatutawala kwa kutumia akili, Kuna kipindi nchi za kiafrika walikutana wadai fidia ila baadhi ya nchi kwa makusudi wakavuruga mkutano kwa kuingiza swala la Palestinia na Israel
Ni Upuuzi kuomba Msamaha kwani Kila mtu atabeba Msalaba wake Mwenyewe...
 
Wasiishie kuomba msamaha,walipe fidia pia.
 
Radhi kavukavu huku faida anatanua mwenyewe! Alete faida tugawane ndo tujue anamaanisha.
 
FACTOR ni Wazungu wanapoteza ulijali na nguvu kazi sababu ya Homosexuality.
Usilolijua sio kwamba napigia chapuo masuala ya upinde Ila mgunduzi wa sayansi ya kompyuta ambayo leo wewe unatumia internet kujibu maoni JF kupitia world wide web jamaa alikua ni homosexual I mean the father of computer science was a homosexual person, na aliitwa Alan Turing
 
Meli maarufu kwa jina la "JESUS " Ndo chanzo cha faida ndefu, saiz meli hiyo still inapiga kazi na kutoa faida kwa watu kwa namna tofauti
 
Hii inafikirisha sana
 
Watumwa hawakupelekwa Uarabuni.Walipelekwa America ya kusini na Carribean.
Nadhani mnachanganya mambo; hao waliokwenda America na Carribean sio wa kutoka East Africa; hao ni wa West Africa. Wazungu hawakufanya biashara ya utumwa East Africa; uzi si umeonesha hivo. Huku tulikua na Waarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…