Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
NGOJA WAAMKENgoja niweke kambi mkuu kupata maujuzi mengine.
Acha kukatisha watu tamaa. Kama strategies zako zilifeli ni wewe, sio wote watafeli.achana na wazo la hiyo biashara.
siachiachana na wazo la hiyo biashara.
Mtoto mboga 7 huyo zaidi ya kuleta story za diamond ana follows wangapi hajuagi hustles nyingine za maisha.Acha kukatisha watu tamaa. Kama strategies zako zilifeli ni wewe, sio wote watafeli
Aisee kumbe inalipaa eehe.Anzisha nakushauri uwe na computer ambazo ni very powerfull kama 2 au tatu, external hard disks za kutosha kuweka movie, uwe na internet router na bandle la kutosha & provider mzuri mwenye internet yenye speed (kwa ajili ya ku download movies) pia kama mtaji unao kodi ofisi ambayo utaiweka vizuri na kuvutia wateja, na zaidi kuwa na kama laki 2 hivi ya kwenda kununua movie ambazo ni latest kwa wanaouza ili mwanzo wako uwe mzuri kiasi mtu akija kuulizia movie asikose
Ama unaeeza kuanza na hicho ulichonacho ukakuwa taratibu...all the best katika biashara yako mkuu, mimi kila weekend lazima niache 10,000/= kwa wale jamaa wanajiita bob paak movies
Sana aisee, nikicheki foleni kwa wale jamaa wanapiga hela wapo vizuri.Aisee kumbe inalipaa eehe
Ah wapi,Siombi kibali chochoteMpigie Steve Nyerere ndio hutoa vibali, yeye ndio Mwenyekiti wa movie hapa Bongo.
Ahsante kwa kuja.Hao Bob paak ndo wapi hao?Anzisha nakushauri uwe na computer ambazo ni very powerfull kama 2 au tatu, external hard disks za kutosha kuweka movie, uwe na internet router na bandle la kutosha & provider mzuri mwenye internet yenye speed (kwa ajili ya ku download movies) pia kama mtaji unao kodi ofisi ambayo utaiweka vizuri na kuvutia wateja, na zaidi kuwa na kama laki 2 hivi ya kwenda kununua movie ambazo ni latest kwa wanaouza ili mwanzo wako uwe mzuri kiasi mtu akija kuulizia movie asikose
Ama unaeeza kuanza na hicho ulichonacho ukakuwa taratibu...all the best katika biashara yako mkuu, mimi kila weekend lazima niache 10,000/= kwa wale jamaa wanajiita bob paak movies
Njia nzuri ni mtu anakuja na flash yake unamuwekea, safi sana.Ahsante kwa kuja.Hao Bob paak ndo wapi hao?
Kuna zingine zitakuwa hapo bandani zingine kuna madogo watatembeza mtaani.
Nitaanza na nilichokuwa nacho leo hii hii
Wakuu,nataka kujitosa kwenye hiii biashara ikiwezekana hata kesho .
Nina desktop mpya kabisa yenye uwezo wa ku-burn CD/DVD.
mwenye ideas\uzoefu wa hii kitu anijuze
Wakuu,nataka kujitosa kwenye hiii biashara ikiwezekana hata kesho .
Nina desktop mpya kabisa yenye uwezo wa ku-burn CD/DVD.
mwenye ideas\uzoefu wa hii kitu anijuze
Mkuu anzisha binafis naona inalipa ila iwe uswahilin kwawapenda kuangalia muvie au season mm nilianza na desktop yenye 2ram na hhd 500gb sasa nina desktop yenye 6ram na 6TB kwahiyo dogo anapigakaz vizuri mambo yanaenda nimejenga vyumba 2 kupitia hiyo mishe hii yote imefanyika baada ya miaka3 nadogo mishe zake zinakwenda
Njia nzuri ni mtu anakuja na flash yake unamuwekea, safi sana