Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Wakuu,
Nataka kujitosa kwenye hiii biashara ikiwezekana hata kesho.
Nina desktop mpya kabisa yenye uwezo wa ku-burn CD/DVD.
Mwenye ideas\uzoefu wa hii kitu anijuze