Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
- Thread starter
- #21
Ahsante,Movie unanunua wapi? vipi cover za movie unaprint mwenyewe?
Mkuu anzisha binafis naona inalipa ila iwe uswahilin kwawapenda kuangalia muvie au season mm nilianza na desktop yenye 2ram na hhd 500gb sasa nina desktop yenye 6ram na 6TB kwahiyo dogo anapigakaz vizuri mambo yanaenda nimejenga vyumba 2 kupitia hiyo mishe hii yote imefanyika baada ya miaka3 nadogo mishe zake zinakwenda