Biashara ya uvuvi baharini

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
5,051
Reaction score
5,104
Wadau nimekuwa nikitafuta taarifa sana kuhusu biashara ya uvuvi baharini. Hii imetokana na ukweli kuwa nimekuwa nikienda katika masoko ya samaki hapa Dar es salaam na kuona jinsi watu wanavyogombea samaki. Yaani mvuvi akifika wateja wanamngoja na dalali humaliza biashara na kusepa na mpunga.

Hii ilinifanya nitamani kumiliki japo kaboti kadogo ili nione namna ninaweza kutoboa kupitia hii biashara.

Sasa ninaomba embu japo tupeane uzoefu maana ninachojua mpaka sasa soko la samaki bado halijajaa na ndio maana tuna import samaki toka China.
 
Mamy vp Bro, mishe dah busy sn bro fanya tumeet japo kdg tu basi.
Hii biashara nlingiaga kichwa kichwa nlikula hasara kubwa sana angekuwa mtu mwingine angekufilia mbali na pressure, Sema Mimi nli base kwenye uvuvi jongoo bahari.....
Ila ukijipanga uvuvi unalipa.....
Sema tu Kazi hizi Zina wenyeweeeee

Ova
 
Hii biashara nlingiaga kichwa kichwa nlikula hasara kubwa sana angekuwa mtu mwingine angekufilia mbali na pressure, Sema Mimi nli base kwenye uvuvi jongoo bahari.....
Ila ukijipanga uvuvi unalipa.....
Sema tu Kazi hizi Zina wenyeweeeee

Ova
Vipi vilikukwamisha Mkuu Mrangi? Wizi wa wavuvi au unpredictability ya mavuno?
 
1)jongoo serikali ilikuwa haitoi vibali
Ilikuwa magumashi
2)upatikanaji ulikuwa mdg ila wanunuzi nlikuwa nao wa moto
3)sikuwa na uzoefu na mambo haya ya uvuvi nlinunua boti 2 na mashine endira hp 15 na hp 9.9 nkaingia kazini totaly
Maana wanunuzi nlikuwa nao
Wakati ule mzee baba wazir wa uvuvi kna operation moja ilifanyika nchi nzima kwenye maziwa na bahari waliwatumia navy kwenye kamata kamata mm ilinikumbaaa hko mafia
Mpk Leo sitaki hata kusikia

Ova
 
Mkuu unaonekana mzoefu kidogo kwenye hizi mambo, embu nisaidie kujua bei ya boti na engine haswa Yamaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…