Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Wadau nimekuwa nikitafuta taarifa sana kuhusu biashara ya uvuvi baharini. Hii imetokana na ukweli kuwa nimekuwa nikienda katika masoko ya samaki hapa Dar es salaam na kuona jinsi watu wanavyogombea samaki. Yaani mvuvi akifika wateja wanamngoja na dalali humaliza biashara na kusepa na mpunga.
Hii ilinifanya nitamani kumiliki japo kaboti kadogo ili nione namna ninaweza kutoboa kupitia hii biashara.
Sasa ninaomba embu japo tupeane uzoefu maana ninachojua mpaka sasa soko la samaki bado halijajaa na ndio maana tuna import samaki toka China.