Habari wadau;
Kwa wanofahamu kuhusu hii biashara ya insurance Agency ningependa kujua;
Taratibu za kufuata kabla ya kuanzisha
Kodi zake huko TRA
Gharama ya Leseni
Kiasi cha mtaji
Jinsi faida inavyopatikana
Na Lolote ambalo lafaa kunisaidia kuielewa
Asante