Kuna jamaa mmoja CRDB pekee yake wanamlipa kamisheni ya 4mMiamala Ina hela mno. Kuna jamaa mmoja alikuwa ndiye aliyefanya miamala mingi kwa mwakaa mzima. Waliitwa na bank ya nmb wakakaa wakapewa wanapewa maujuzi. Waliofanya vizuri wakapewa zawadi. Jamaa alikuwa anaingiza si chini 12M na yupo vijijini sema alikuwa na vituo vingi.
Ishu Ni skills katika mind wengine Wana mtaji wa pesa
uliza kaweka mtaji wa sh ngapi?Kuna jamaa mmoja CRDB pekee yake wanamlipa kamisheni ya 4m
Jamaa anazaidi ya milioni 50
Maana pia ni Wakala Mkuu wa CRDB yupo kariakooJamaa anazaidi ya milioni 50
Na bado watu wanaongea uzoefu wanadhani ndio jibu sahihi ama ndio kanuni ya kutafuta triangle areaKuna jamaa mmoja CRDB pekee yake wanamlipa kamisheni ya 4m
Kuacha kudunduliza ili ukae Ni balaa jingine,,,,Km unamtaji mkubwa Fanya ila km unavimtaji vya laki tank cnui milioni Moja acha itakuumiza kichwa
Hakuna cha ndumba, ni uzembe, tamaa na ujinga. Watu wengi huibiwa kindezi halafu wanajifanya madawa.Ni hatari mkuu.aliambiwa wanafanya maboresho kwa ajili ya ku boost commission then wakaanza kumwelekeza bonyeza hapa then pale kustuka kawatumia hela tote.
All in all utapeli ni mwingi Sana mkuu ila huu wa kupigiwa simu ni WA kizembe kabisa na mm nilishaelekeza wasifanye chochote ila ndio hivyo akanasa.
Kama ndio unaanza elekeza mtu wako kwenye simu ya wakala ikipigiwa Kama sio namna 100 asipokee katu. Na akipokea inabd ujulishwe kabla hajafanya chochote.
Bado wale Sasa wanaokujaga kwenye kibanda na sms feki,pesa feki au pesa pungufu wakala ukikiuka kanuni moja tu unakuta umetapeliwa hela tote.
Nb.Epuka katu katu simu ya wakala kushikwana mteja wa aina yoyote.Hili zingatia mno ndio chanzo Cha wengi kulizwa
Kama biashara ipi mkuu ya mtaji milioni tano faida milioni 1.5 kwa siku 10?Yah bora kutafta chaka jingine ambalo kwa million 5 waweza pata returns hizo ndani ya week tu au siku 10!
Ushauri; usianzishe biashara kwa kutegeme watu mnaofahamianaHello great thinkers! Leo nimeanza rasmi biashara ya Vinywaji~rejareja pamoja na uwakala wa mitandao yote. Eneo ni changamfu na kuna watu tunaofahamiana(wateja wa uhakika hawa).
Naomba kufahamishwa mazuri na changamoto za biashara husika, fursa zaidi zilizopo na jambo lolote lenye kujenga/tija.
Nimefanya maboresho kwa kuweka muonekano mzuri wa frem na mazingira ya Ofisi, lengo ni kuwapata wateja wote, wa chini kati na juu!
Asanteni.
AsanteUshauri; usianzishe biashara kwa kutegeme watu mnaofahamiana
Muhimu ni aina ya operaterKwa maana ya kutaka kukidhi mahitaji ya soko (demand and supply), eneo unalofanyia biashara ndilo haswa hukupa mwanga wa mahitaji ya mtaji halisi wa biashara kwa kuzingatia mzunguko wa eneo husika.
Ila kwa kuanzia kama una mtaji wa 10M ni nzuri then unaweza kuongeza kulingana na mahitaji ya eneo, kiwango cha usimamizi na uwezo wako binafsi.
Changamoto:
Kwa upande wa changamoto ni nyingi kwa kweli, sisemi hivi kukukatisha tamaa bali ujiandae kuzikabili maana ukiteleza kidogo 'umepigwa'.
Kuna hasara zinazotokana na uzembe wa operator, uwezo mdogo wa mahesabu ya fasta fasta na utambuzi wa tarakimu na kiasi cha fedha, utapeli na ushirikina ni mwingi sana kwenye mambo ya fedha.
Kwa maoni yangu, kama huna operator mzuri ( ni vigumu kuwapata) na uwezo wako wa kumonitor business hii ni mdogo achana nayo.
Ukipunguza pesa kidogo kwenye mtaji unafeel lile gap (panayumba), kwa hiyo pesa unayoi dedicate pale kwa kiasi kikubwa huwezi kuichomoa kufanya jambo jingine kama ilivyo kwa biashara zingine.
Kwa uzoefu, ukizingatia commission ya mwezi na mtaji kwa eneo lililo busy sana, wastani wa profit ni 15% (gross).
Kama kuna fursa nyingine inayoweza kukupa profit hiyo kwa mtaji mdogo zaidi huku ina risk chache na pengine inahitaji minimum supervision ningekushauri uchague hiyo dhidi ya hii.
Benefits:
Ni biashara ambayo inaweza kukupa faida ambayo ni predictable almost kwa kipindi chote cha mwaka, mara nyingi miamala ya fedha ina wateja wengi fixed na wanakuwa ni regular customers, ni mara chache kwa siku kupata wateja wapya kabisa.
Kama uko eneo ambalo ni remote, biashara hii itaku connect na fursa nyingi sana kwa kuwa watu wengi wanaamini (actually wanaziona) pesa ulizo nazo, hivyo wengi watakuletea fursa.
Pia kwa remote areas inakupa dhamana kubwa ya kuaminika, kukopesheka na kudhaminika kwa mambo mengi sana kitu ambacho ni muhimu sn kwenye maisha kumiliki 'ghost capital'.