Hamza Mdoe
Member
- May 30, 2016
- 22
- 30
Mmmh hii sina uzoefu nayo kabsaaingia kwenye game ya mahindi mabichi kwa nusu ya hio hela
Tafta wadau wakupe ABCMmmh hii sina uzoefu nayo kabsaa
NMB ni ml 5 wanakupa uwakalaHIvi kuwa wakala mkuu wa mtandao mfano Tigo ni hadi uwe na mtaji kiasi? Na pia kuwa wakala mkuu wa NMB au CRDB ni hadi uwe na mtaji wa kiasi gani?
Kama eneo linamzunguko sana kwa kujibana ni 10mHabari,
Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala.
Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia changamoto za hiyo biashara zikoje?
Naombeni ushauri wenu nina mpango wa kuja kufungua hiyo biashara.
Natanguliza shukrani za dhati.
-------
Michango ya wadau
Kwa maoni na ushauri zaidi soma:
Yaani wakala mkuu wa NMB awe na mtaji wa milioni tano tu? Mbona kiduchu.NMB ni ml 5 wanakupa uwakala
Kaka habari , naomba kupata mawasiliano Yako au unaweza nicheki 0762515921TANGAZO
Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.
Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:
NB malipo ni baada ya kazi[emoji736][emoji736]
Nichek unitengenezee 0781647066TANGAZO
Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.
Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:
NB malipo ni baada ya kazi[emoji736][emoji736]