Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

Habari,

Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala.

Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia changamoto za hiyo biashara zikoje?

Naombeni ushauri wenu nina mpango wa kuja kufungua hiyo biashara.

Natanguliza shukrani za dhati.
-------

Michango ya wadau



Kwa maoni na ushauri zaidi soma:
  1. Biashara ya uwakala M-PESA, TIGO-PESA, AIRTEL-MONEY
Kama eneo linamzunguko sana kwa kujibana ni 10m
 
TANGAZO

Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.

Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:

NB malipo ni baada ya kazi[emoji736][emoji736]
Nichek unitengenezee 0781647066
 
Uzi mrefu huu tangu 2021-2025 miaka takribani minne ya uzi huu....uishi milele
nilichojifunza n kwamba pesa inatafutwa ila uhai hautaftwi/kunuliwa...ww ukiingia kweny 18 za wahuni toa pesa salimisha okoa uhai wako.......japo wengi mliokoment naona mnafanyia kazi hii mjini/jijini sion mweny experience ya biashara hii kijijin ndan ndani...ambako wenda miamala mingi ni ya kutoa...na usalama wake pia
 
Shukrani sana kwa madini

Ila je tukiogopa kujaribu biashara unafikiri dunia ingefika huku tulipo
 
Back
Top Bottom