Dah swali gumu kidogo, lakini ukiangalia vibanda vingi utakuta ni wadada ndio wamiliki wa biashara, sina hakika kwa hawa wa uwakala ila wakati mwingine kina dada wanaweza kudumu kwenye biashara zenye faida ndogo kutokana na 'support' za wenza wao na ile dhana ya wanaume kwamba 'mtu' wangu ajishughulishe asikae idle akajiingiza kwenye 'mambo' ya hovyo.Kwann vibanda kibao vya mawakala wakati faida ndogo sana.?????
Lakini mjini vibanda vinazidi kuongezeka kwann labda?Commission ni ndogo sana aisee plus 10% tax ndiyo wanaua kabisa.
Duh!Kuna classmate wangu mmoja kigamboni wadogo zake wawili walikula shaba getini kwao kabisa! Wajuba wakabeba million 4
Hii biashara nikifikiria wezi naishiwa pozzAisee hapo kwenye wezi hadi mwili unasisimka, kwahiyo unakuwa umewawekea kwenye mpesa yao na bado na hizo hard wanazichukua tena[emoji848] pia nadhani hii biashara inabidi usichelewe sana kufunga jioni kiusalama tu.
Walikufa?Kuna classmate wangu mmoja kigamboni wadogo zake wawili walikula shaba getini kwao kabisa! Wajuba wakabeba million 4
Mmmh kwa profit gani mpaka kuwa escorted na security [emoji849][emoji849][emoji849][emoji22]Yah usalama ni muhimu sana ikiwezekana utembee na kiwango security
Kama Chaka lipi?Yah bora kutafta chaka jingine ambalo kwa million 5 waweza pata returns hizo ndani ya week tu au siku 10!
Hell no[emoji134][emoji134][emoji134]Pia nimegundua watu wengi huwa hawafanyi analysis kabla ya kuingia kwenye business, wengi huiga tu kwa kuona fulani anafanya.
Mfano, watu wengi anapotoa pesa kama mteja kwenye let's say M-pesa kiasi cha laki 1 na kukatwa 3,650/= anahisi pesa yote ile inaenda kwa wakala, kisha anaangalia movement ya wateja... anaona jamaa anapiga pesa hatari [emoji23][emoji23]
Ila kiuhalisia katika ile 3,650/= ya kutolea, wakala anabaki na tshs. 460/= na hapo bado haijakatwa kodi 10%. Sasa ndio hizo uzidundulize hadi mwisho wa mwezi uje utoe gharama ya kulipa operator(s), hujalipa kodi ya pango, umeme, ulinzi nk. unabaki na kiasi kidogo sana kwa kweli.
Ni kwikwi [emoji16]Duh! mbona ni shida sasa
Zaidi ya takataka, namuona rafiki yangu kaikomalia nikajua mambo safiKama ni hivi biashara hii ni nzuri kwa sehemu kama sokon inalipa.ila kama ninkweli anayosema huyo wa comment ya juu kwamba muamala wa milion moja unapata 460 basi hii biashara ni taka taka.
Kukosa kazi, mtu anaona bora afanye hata hiyoLakini mjini vibanda vinazidi kuongezeka kwann labda?
Ndio uhalisia mkuu.Hell no[emoji134][emoji134][emoji134]
460/= TAX/ LEVY EXCLUSIVE???
C'amon guys[emoji849]
Inategemea na kias Chako Cha mtaji pamoja na mzunguko wa wateja wako siyo utegemea kupata laki 3 na mtaji wako Ni laki 3 au nne hapo anayepata hyo laki 3 ujue amewekeza Zaid ya milion 2 Hadi 3Mimi nahis napingana na wanao Sema faida ni ndogo kwa sababu Kuna wakala Ana tigo pesa, mpesa na Airtell money ila kwa mwezi anapiga laki 4 vipi wale wenye mpaka branch za bank???
Mimi Kuna jamaa yangu kwa mwezi inagonga 2na nusu mpaka Tatu na nusu Milion
Ni jamaa ambaye wakati wadogo zake wanakula shaba alikuwa safarini akielekea msibani mkoani ?Kuna classmate wangu mmoja kigamboni wadogo zake wawili walikula shaba getini kwao kabisa! Wajuba wakabeba million 4
Yaani wanaweka ili kujihakikishia kwamba wewe wamekuacha na cash ili wanapo kuvamia wawe na uhakika cash unayo wasifanye kazi bure.
Una imply uongozi wa mama Samia utakuwa weak kudhibiti uhalfu ?Hii biashara nilishasemaga ni ya watu wavivu kufikiri! Kuna mtu alininanga ila nilikuwa nishampa ukweli!
Its useles ku risk million 10 kwa mwezi mzima kwa returns za 1.5M ambayo ni makadirio ya juu sana unaweza pata chini ya hapo! Kuna kupigwa risasi na sahizi Magufuli hayupo maana ujambazi utakuwa nje nje! Kuna chumaulete pia! Its surely a risky bet
Anayeweka mshahara ukae benki na anayeweka mshahara kwenye shughuli za uwakala, yupi ana nafuu ?Inategemea na kias Chako Cha mtaji pamoja na mzunguko wa wateja wako siyo utegemea kupata laki 3 na mtaji wako Ni laki 3 au nne hapo anayepata hyo laki 3 ujue amewekeza Zaid ya milion 2 Hadi 3
Mambo mengine unajiongeza mkuu sio mpaka tukalazwe mahabusu 😝Una imply uongozi wa mama Samia utakuwa weak kudhibiti uhalfu ?
Sina shaka ila kuna mazingira yalijitokeza tu akawa hakubeba hela yeye hio siku! Like kuna mahali alikuwepo.Ni jamaa ambaye wakati wadogo zake wanakula shaba alikuwa safarini akielekea msibani mkoani ?