tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,016
- 1,946
Nijuze laini ni shilingi ngapi unatengeneza MpesaTANGAZO
Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.
Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:
NB malipo ni baada ya kazi[emoji736][emoji736]
Zote mkuu njoo pmNijuze laini ni shilingi ngapi unatengeneza Mpesa
Toa mfano wa hayo machaka watu tujiongezeYah bora kutafta chaka jingine ambalo kwa million 5 waweza pata returns hizo ndani ya week tu au siku 10!
Kulaleki, basi hii ni biashara kichaaKwenye elfu 20 hapo.
Fanya miamala midogo midogo mingi ndio kwenye faida huko......wale wa kutoa buku buku mbili tatu tanoHii biashara ili upate commission kubwa ina siri kubwa sana sema hatuwezi kuziweka hapa
Nakufata pm unipe maujanja mkuu niongeze kipato cha pembeni.Hii biashara ili upate commission kubwa ina siri kubwa sana sema hatuwezi kuziweka hapa
Walikufa??Kuna classmate wangu mmoja kigamboni wadogo zake wawili walikula shaba getini kwao kabisa! Wajuba wakabeba million 4
Eeh on the spot familia ikapoteza mtu mbiliWalikufa??
Dah very sad adse .....Eeh on the spot familia ikapoteza mtu mbili
Tupatie option nyingine pendwa ndugu.Juzi nimepigwa 760k baada ya wife kunasa ndoano ya matapeliYah, kiukweli ni biashara yenye risk nyingi sana na faida yake ni ndogo ukilinganisha na biashara zingine ukiweka mtaji huo huo.
Pia tofauti na kuongeza mtaji (kama mahitaji ni makubwa), there is little you can do to boost the profit, yaani ni biashara ambayo imagine inahitaji wateja wenyewe waongeze rate ya kufanya transactions ili we upate 'matokeo'.
Ndio maana nashauri kama mtu ana other options na ni anayetaka kugrow in business hii biashara sio ideal kwa kweli.
Tushirikishane mkuu ilikuwaje! Mimi ndiyo nakaribia kuingia rasmi kwenye hii biashara. Na kiukweli hao matapeli na majambazi wanaogopesha kwa kiasi chake.Tupatie option nyingine pendwa ndugu.Juzi nimepigwa 760k baada ya wife kunasa ndoano ya matapeli
Ni hatari mkuu.aliambiwa wanafanya maboresho kwa ajili ya ku boost commission then wakaanza kumwelekeza bonyeza hapa then pale kustuka kawatumia hela tote.Tushirikishane mkuu ilikuwaje! Mimi ndiyo nakaribia kuingia rasmi kwenye hii biashara. Na kiukweli hao matapeli na majambazi wanaogopesha kwa kiasi chake.
Chaka gani hiloYah bora kutafta chaka jingine ambalo kwa million 5 waweza pata returns hizo ndani ya week tu au siku 10!
Beba nguruwe morogoro vijijina leta uuze kimara au mbagalaChaka gani hilo
Sawa unaingiza kias gani kwa mweziNmegundua kwamba watu wengi wapo ili kukatisha wengne tamaa.
Sio kila biashara ulioshndwa ww kwmb haina faida. Na wengi wetu tunapenda kuponda biashara wakati hatujawahi kuifanya.
Kila biashara ina changamoto zake kwahyo biashara ya wakala ina changamoto km biashara nyngne.
Kuna watu biashara hii ya uwakala wamejenga alafu leo unasema ni biashara kichaa?
Ktk kila biashara kila mtu ana malengo yake kwahyo tusipende kukatishana tamaa.
Biashara hii ili uone faida yake lazma uchague location nzuri na uwe na mtaji. Km mtaji wako ni mdogo basi uwe mjanja sana. Ujanja sio kuibia watu bali uwezo wako wa kuwahudumia watu na kuhakikisha kila anayefka kwako anapata huduma kwa wakati bila shda.
Hapo juu kuna mtu amesema faida zake haziongezi wala huwez kupata wateja wateja wapya. Hii sio kweli.
Mm nafanya biashara hii na huniambii kitu
Dah pole sana mkuu, kwenye option nyingine nadhani ni wewe mwenyewe ndio wa kuangalia kutokana na eneo ulipo.Tupatie option nyingine pendwa ndugu.Juzi nimepigwa 760k baada ya wife kunasa ndoano ya matapeli
Unaweza kumlaumu wife bure, hawa jamaa sometimes wanatumia hadi nguvu za giza.Ni hatari mkuu.aliambiwa wanafanya maboresho kwa ajili ya ku boost commission then wakaanza kumwelekeza bonyeza hapa then pale kustuka kawatumia hela tote.
All in all utapeli ni mwingi Sana mkuu ila huu wa kupigiwa simu ni WA kizembe kabisa na mm nilishaelekeza wasifanye chochote ila ndio hivyo akanasa.
Kama ndio unaanza elekeza mtu wako kwenye simu ya wakala ikipigiwa Kama sio namna 100 asipokee katu. Na akipokea inabd ujulishwe kabla hajafanya chochote.
Bado wale Sasa wanaokujaga kwenye kibanda na sms feki,pesa feki au pesa pungufu wakala ukikiuka kanuni moja tu unakuta umetapeliwa hela tote.
Nb.Epuka katu katu simu ya wakala kushikwana mteja wa aina yoyote.Hili zingatia mno ndio chanzo Cha wengi kulizwa