Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

TANGAZO

Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.

Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:

NB malipo ni baada ya kazi[emoji736][emoji736]
Nijuze laini ni shilingi ngapi unatengeneza Mpesa
 
Hakuna biashara humo....wakala mkuu anapata pesa wengine tunahangaika tu..hii biashara inatoa hela ya kula tu
 
Yah, kiukweli ni biashara yenye risk nyingi sana na faida yake ni ndogo ukilinganisha na biashara zingine ukiweka mtaji huo huo.

Pia tofauti na kuongeza mtaji (kama mahitaji ni makubwa), there is little you can do to boost the profit, yaani ni biashara ambayo imagine inahitaji wateja wenyewe waongeze rate ya kufanya transactions ili we upate 'matokeo'.

Ndio maana nashauri kama mtu ana other options na ni anayetaka kugrow in business hii biashara sio ideal kwa kweli.
Tupatie option nyingine pendwa ndugu.Juzi nimepigwa 760k baada ya wife kunasa ndoano ya matapeli
 
Tupatie option nyingine pendwa ndugu.Juzi nimepigwa 760k baada ya wife kunasa ndoano ya matapeli
Tushirikishane mkuu ilikuwaje! Mimi ndiyo nakaribia kuingia rasmi kwenye hii biashara. Na kiukweli hao matapeli na majambazi wanaogopesha kwa kiasi chake.
 
Tushirikishane mkuu ilikuwaje! Mimi ndiyo nakaribia kuingia rasmi kwenye hii biashara. Na kiukweli hao matapeli na majambazi wanaogopesha kwa kiasi chake.
Ni hatari mkuu.aliambiwa wanafanya maboresho kwa ajili ya ku boost commission then wakaanza kumwelekeza bonyeza hapa then pale kustuka kawatumia hela tote.
All in all utapeli ni mwingi Sana mkuu ila huu wa kupigiwa simu ni WA kizembe kabisa na mm nilishaelekeza wasifanye chochote ila ndio hivyo akanasa.
Kama ndio unaanza elekeza mtu wako kwenye simu ya wakala ikipigiwa Kama sio namna 100 asipokee katu. Na akipokea inabd ujulishwe kabla hajafanya chochote.
Bado wale Sasa wanaokujaga kwenye kibanda na sms feki,pesa feki au pesa pungufu wakala ukikiuka kanuni moja tu unakuta umetapeliwa hela tote.
Nb.Epuka katu katu simu ya wakala kushikwana mteja wa aina yoyote.Hili zingatia mno ndio chanzo Cha wengi kulizwa
 
Nmegundua kwamba watu wengi wapo ili kukatisha wengne tamaa.

Sio kila biashara ulioshndwa ww kwmb haina faida. Na wengi wetu tunapenda kuponda biashara wakati hatujawahi kuifanya.

Kila biashara ina changamoto zake kwahyo biashara ya wakala ina changamoto km biashara nyngne.

Kuna watu biashara hii ya uwakala wamejenga alafu leo unasema ni biashara kichaa?

Ktk kila biashara kila mtu ana malengo yake kwahyo tusipende kukatishana tamaa.

Biashara hii ili uone faida yake lazma uchague location nzuri na uwe na mtaji. Km mtaji wako ni mdogo basi uwe mjanja sana. Ujanja sio kuibia watu bali uwezo wako wa kuwahudumia watu na kuhakikisha kila anayefka kwako anapata huduma kwa wakati bila shda.

Hapo juu kuna mtu amesema faida zake haziongezi wala huwez kupata wateja wateja wapya. Hii sio kweli.

Mm nafanya biashara hii na huniambii kitu
Sawa unaingiza kias gani kwa mwezi
 
Ni hatari mkuu.aliambiwa wanafanya maboresho kwa ajili ya ku boost commission then wakaanza kumwelekeza bonyeza hapa then pale kustuka kawatumia hela tote.
All in all utapeli ni mwingi Sana mkuu ila huu wa kupigiwa simu ni WA kizembe kabisa na mm nilishaelekeza wasifanye chochote ila ndio hivyo akanasa.
Kama ndio unaanza elekeza mtu wako kwenye simu ya wakala ikipigiwa Kama sio namna 100 asipokee katu. Na akipokea inabd ujulishwe kabla hajafanya chochote.
Bado wale Sasa wanaokujaga kwenye kibanda na sms feki,pesa feki au pesa pungufu wakala ukikiuka kanuni moja tu unakuta umetapeliwa hela tote.
Nb.Epuka katu katu simu ya wakala kushikwana mteja wa aina yoyote.Hili zingatia mno ndio chanzo Cha wengi kulizwa
Unaweza kumlaumu wife bure, hawa jamaa sometimes wanatumia hadi nguvu za giza.

Wanaweza kuja physically wakatupia dawa ya kumpumbaza kisha wanapiga simu, hapo atasahau maelekezo na maonyo yote uliyompa awali.
 
Back
Top Bottom