Hapa unataka kutuambia unaamini Nguvu za giza kuliko Nuru ...Unaweza kumlaumu wife bure, hawa jamaa sometimes wanatumia hadi nguvu za giza.
Wanaweza kuja physically wakatupia dawa ya kumpumbaza kisha wanapiga simu, hapo atasahau maelekezo na maonyo yote uliyompa awali.
Kumuamini Mungu hakuondoi uwepo wa nguvu za giza, zipo na zinafanya kazi yake.Hapa unataka kutuambia unaamini Nguvu za giza kuliko Nuru ...
Stori za vijiweniAisee mtaji usikupe shida, waza ni eneo gani tu. Kama ni mjini utahitaji mtaji mkubwa kiasi kweli angalau 10 mil ili uwe comfortable. Vinginevyo anza na iliyopo ili ujue kama unahitaji kuongeza au vipi. Changamoto zingine zimesha ongelewa.
Angalizo:
Pia inabidi kuwa makini sana na wateja wanaokuja mida ya mwisho mwisho kabla ya kufunga, baadhi wanaweza kuwa wezi wanakuvizia kwa hiyo anakuja na cash nyingi then anaweka M-pesa kama haijatosha ataweka na NMB, tigo na airtel ili ahakikishe amekuacha na cash ili wakikuvamia wachukue cash zao bila tabu
[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe na wezi nao wanakuwa na MITAJI [emoji1787][emoji23]
Kuna classmate wangu mmoja kigamboni wadogo zake wawili walikula shaba getini kwao kabisa! Wajuba wakabeba million 4
Yeah ilikuwa noma kichiziHuyu namkumbuka anaishi Moshi Bar alipigwa shaba wadogo zake...wawili wa damu..kwakweli stori hii ilihuzunishi...bishara hii risk yake ni kubwa..wajuba hawana huruma
Jana rafiki yangu amepigwa million kadhaa. Ana duka la mifugo ila ameweka na hizi huduma za e-money pale kihonda. Walienda vijana watatu, kila mmoja akafanya transaction na kupewa cash. Waliposepa tu zile pesa kwenye sim hakuna. Taarifa zilizopo wale jamaa wametoka DSM na wamewapiga watu wengi hapa Moro siku ya jana. Mnaofanya hizi biashara muwe makini sana, hawa watu wanabuni mbinu mpya kila siku.[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa wana mbinu nyingi hatari, kuwabaini inahitaji umakini wa hali ya juu sana especially wakikujia na mbinu mpya ama ile ambayo hujawahi kuisikia.
Hii biashara naifanya ni pasua kichwa asee. Nisha fanyiwa majaribio ya kuibiwa kwa kubomolewa makufuri ofisini, kutapeliwa n.k mpaka hapa Nina wiki tatu naugulia maumivu ya kubomolewa ofisin wezi wakijua kuna hela. Bahati nzuri siku hiyo niliacha hela ya chench sema waliba vi sim vyangu wehu wale.Jana rafiki yangu amepigwa million kadhaa. Ana duka la mifugo ila ameweka na hizi huduma za e-money pale kihonda. Walienda vijana watatu, kila mmoja akafanya transaction na kupewa cash. Waliposepa tu zile pesa kwenye sim hakuna. Taarifa zilizopo wale jamaa wametoka DSM na wamewapiga watu wengi hapa Moro siku ya jana. Mnaofanya hizi biashara muwe makini sana, hawa watu wanabuni mbinu mpya kila siku.
Ukihitaji unapata ila yenye majina yako, kikubwa uwe na lesen, tin number na namba ya nida.Hivi lini za mpesa bado zinapatikana?
Pole sana mkuu. Tuishi tu kwa akili na kumtegemea Mungu. We unatafuta kwa njia halali wengine wanataka kuja kubeba tu kirahisi rahisi.Hii biashara naifanya ni pasua kichwa asee. Nisha fanyiwa majaribio ya kuibiwa kwa kubomolewa makufuri ofisini, kutapeliwa n.k mpaka hapa Nina wiki tatu naugulia maumivu ya kubomolewa ofisin wezi wakijua kuna hela. Bahati nzuri siku hiyo niliacha hela ya chench sema waliba vi sim vyangu wehu wale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye lesseni ndio ishuUkihitaji unapata ila yenye majina yako, kikubwa uwe na lesen, tin number na namba ya nida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah
Bei yake shingapi
Leseni mkuu haina bei maarumu ila inategemeana na eneo unaloweka biashara yako kila eneo Lina bei yake, kwa sehem ulipo jaribu kuulizia mtu hua analipia leseni sh ngapi kwa eneo Hilo,Bei yake shingapi
Mheshimiwa naomba unipe maujanja ya namna ya kuhifadhi hela aisee! Nipo kwenye mchakato wa kuanzisha hii biashara.Hii biashara naifanya ni pasua kichwa asee. Nisha fanyiwa majaribio ya kuibiwa kwa kubomolewa makufuri ofisini, kutapeliwa n.k mpaka hapa Nina wiki tatu naugulia maumivu ya kubomolewa ofisin wezi wakijua kuna hela. Bahati nzuri siku hiyo niliacha hela ya chench sema waliba vi sim vyangu wehu wale.
Sent using Jamii Forums mobile app