Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

Unaweza kumlaumu wife bure, hawa jamaa sometimes wanatumia hadi nguvu za giza.

Wanaweza kuja physically wakatupia dawa ya kumpumbaza kisha wanapiga simu, hapo atasahau maelekezo na maonyo yote uliyompa awali.
Hapa unataka kutuambia unaamini Nguvu za giza kuliko Nuru ...
 
Hapa unataka kutuambia unaamini Nguvu za giza kuliko Nuru ...
Kumuamini Mungu hakuondoi uwepo wa nguvu za giza, zipo na zinafanya kazi yake.

Binafsi namuamini sana Mungu, ila imani yangu ni msaada kwangu haiwezi kuwasaidia wasio na imani. By the way, post yangu ilikuwa inamaanisha kama huna ulinzi wa Mungu, maelekezo mengine ni kazi bure.
 
Aisee mtaji usikupe shida, waza ni eneo gani tu. Kama ni mjini utahitaji mtaji mkubwa kiasi kweli angalau 10 mil ili uwe comfortable. Vinginevyo anza na iliyopo ili ujue kama unahitaji kuongeza au vipi. Changamoto zingine zimesha ongelewa.
Stori za vijiweni
 
Kumbe na wezi nao wanakuwa na MITAJI 🤣😂
Angalizo:
Pia inabidi kuwa makini sana na wateja wanaokuja mida ya mwisho mwisho kabla ya kufunga, baadhi wanaweza kuwa wezi wanakuvizia kwa hiyo anakuja na cash nyingi then anaweka M-pesa kama haijatosha ataweka na NMB, tigo na airtel ili ahakikishe amekuacha na cash ili wakikuvamia wachukue cash zao bila tabu
 
Kumbe na wezi nao wanakuwa na MITAJI [emoji1787][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa wana mbinu nyingi hatari, kuwabaini inahitaji umakini wa hali ya juu sana especially wakikujia na mbinu mpya ama ile ambayo hujawahi kuisikia.
 
Huyu namkumbuka anaishi Moshi Bar alipigwa shaba wadogo zake...wawili wa damu..kwakweli stori hii ilihuzunishi...bishara hii risk yake ni kubwa..wajuba hawana huruma
Kuna classmate wangu mmoja kigamboni wadogo zake wawili walikula shaba getini kwao kabisa! Wajuba wakabeba million 4
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa wana mbinu nyingi hatari, kuwabaini inahitaji umakini wa hali ya juu sana especially wakikujia na mbinu mpya ama ile ambayo hujawahi kuisikia.
Jana rafiki yangu amepigwa million kadhaa. Ana duka la mifugo ila ameweka na hizi huduma za e-money pale kihonda. Walienda vijana watatu, kila mmoja akafanya transaction na kupewa cash. Waliposepa tu zile pesa kwenye sim hakuna. Taarifa zilizopo wale jamaa wametoka DSM na wamewapiga watu wengi hapa Moro siku ya jana. Mnaofanya hizi biashara muwe makini sana, hawa watu wanabuni mbinu mpya kila siku.
 
Hii biashara naifanya ni pasua kichwa asee. Nisha fanyiwa majaribio ya kuibiwa kwa kubomolewa makufuri ofisini, kutapeliwa n.k mpaka hapa Nina wiki tatu naugulia maumivu ya kubomolewa ofisin wezi wakijua kuna hela. Bahati nzuri siku hiyo niliacha hela ya chench sema waliba vi sim vyangu wehu wale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu. Tuishi tu kwa akili na kumtegemea Mungu. We unatafuta kwa njia halali wengine wanataka kuja kubeba tu kirahisi rahisi.
 
Bei yake shingapi
Leseni mkuu haina bei maarumu ila inategemeana na eneo unaloweka biashara yako kila eneo Lina bei yake, kwa sehem ulipo jaribu kuulizia mtu hua analipia leseni sh ngapi kwa eneo Hilo,

Maana leseni ni kibari Cha kufanyia biashara flan sehem flan, na mtu wa dar ilala hawez lipa kiwango kimoja na mtu wa sengerema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii biashara naifanya ni pasua kichwa asee. Nisha fanyiwa majaribio ya kuibiwa kwa kubomolewa makufuri ofisini, kutapeliwa n.k mpaka hapa Nina wiki tatu naugulia maumivu ya kubomolewa ofisin wezi wakijua kuna hela. Bahati nzuri siku hiyo niliacha hela ya chench sema waliba vi sim vyangu wehu wale.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mheshimiwa naomba unipe maujanja ya namna ya kuhifadhi hela aisee! Nipo kwenye mchakato wa kuanzisha hii biashara.

Kipengele hiki huwa kinaniumiza sana kichwa, na bahati mbaya huwezi kumuiliza mtu kirahisi tu. Maaana anaweza kuhisi unataka ukamuibie.
 
Back
Top Bottom