Biashara ya vanilla na hiriki

Jmkenda97

Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
5
Reaction score
4
Habari zenu wanajamii , nimekuja na fursa hii mpya nahitaji kilo 200 za iliki kwa mkulima na kilo 100 za vanilla kwa mkulima nitakuja kununua shambani kwako malipo no cash tafadhali nitafute kwa jmkenda97@gmail.com au whatsap 0714870313
 
Nahitaji kilo 200 za iliki NA kilo 100 za vanilla kutoka kwa wakulima nitakuja kununua shambani kwako.malipo no cash namba yangu ya CMU /whatssap no 0714870313 au jmkenda97@gmail.com
 
Nimewah tembelea baadhi wakulima wa iliki, sidhan kama utawapata Jf, apa utapata mtu kat
 
Hiriki ni zao zuri na Lina hela.
Na uhakika wa kuvuna %%%
Lakini uwe na mtaji wa uendexhaji.
Kama huna mtaji utumie nguvu zako.
Ukiweza ww unapata maisha.
Kama unahitaji location nicheki
Nikupe mifumo.
 
Hiriki ni zao zuri na Lina hela.
Na uhakika wa kuvuna %%%
Lakini uwe na mtaji wa uendexhaji.
Kama huna mtaji utumie nguvu zako.
Ukiweza ww unapata maisha.
Kama unahitaji location nicheki
Nikupe mifumo.
Lete mifumo mkuu watu tupige kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…