Habari zenu wanajamii , nimekuja na fursa hii mpya nahitaji kilo 200 za iliki kwa mkulima na kilo 100 za vanilla kwa mkulima nitakuja kununua shambani kwako malipo no cash tafadhali nitafute kwa jmkenda97@gmail.com au whatsap 0714870313
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji kilo 200 za iliki NA kilo 100 za vanilla kutoka kwa wakulima nitakuja kununua shambani kwako.malipo no cash namba yangu ya CMU /whatssap no 0714870313 au jmkenda97@gmail.com
Lete mifumo mkuu watu tupige kaziHiriki ni zao zuri na Lina hela.
Na uhakika wa kuvuna %%%
Lakini uwe na mtaji wa uendexhaji.
Kama huna mtaji utumie nguvu zako.
Ukiweza ww unapata maisha.
Kama unahitaji location nicheki
Nikupe mifumo.
Mifumo ipo nicheki inboxLete mifumo mkuu watu tupige kazi