Biashara ya viatu china

Biashara ya viatu china

Z kama Z

Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
60
Reaction score
10
Wandugu habari za asubuhi
Mimi ni mfanya biashara nko mkoani nafanya biashara ya viatu nauza kwa jumla na rejareja nilitaka nipanue bishara yabgu iwe ya jula tu kwa ss nilifikilia kwenda china ila nina kama milioni kumi kama mtaji tu nauli na mambo mengine niko sawa. nauliza kwa wale wazoefu naweza enda nikapata mzigo mzuri ambao utanipa faida nzuri, vp kuhusuy kodi na vitu ka hivyo na usafilishaji.
Tafadhari naomba mawazo yenu
 
Kidgo ninacho fahamu, wachina walioko kariakoo wao wanaagiza tu ma'container yanakuja, sasa gharama za kukupeleka na kukurudisha + malazi kule ni added cost ktk mzigo wako! Hiyo hela sidhani kama inatosha hata mtu akiamaua kukubeba katika kontena lake!
 
mkuu hyo jamaa asikukatishe tamaa cha msingi we fanya research ya kutosha kabla hujaamua kwenda china ujue km itakulipa ama vip? Mi nipo hpa kkoo naweza kukusaidia kufanya research
 
mkuu hyo jamaa asikukatishe tamaa cha msingi we fanya research ya kutosha kabla hujaamua kwenda china ujue km itakulipa ama vip? Mi nipo hpa kkoo naweza kukusaidia kufanya research

asante sana bwana komeka kwa msaada wako unaweza kunicheki kupitia 0767 645631 hii ni ya nyumbani nipeigie kuanzia saa 1 jioni na hii ni ya kazini 0767 566570 piga any time mpka 12 jioni uliza samwel golanga.
Tafadhari nasubili simu yako
 
ntakutafuta mkuu
 
Wakuu biashara ya Viatu mimi nimeiangalia kwa karibu sana, lakini mimi nilikuwa nataka kutengeneza Kiwanda cha Viatu Tanzania. Sitaki kwenda china wala wapi, nataka agiza hizo machine toka china then Ngozi unaagiza nje, na soli nje, hizi hulipi sana Tax sababu ni raw material, plus zipo cost incentive nyingi kwa kuanzisha kiwanda. Ninaposema Kiwanda simaanishi ukubwa kama MO ent. Lakini kiwanda cha kuajiri watu kumi au zaidi.

[TABLE="width: 544"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Revenue Projectection[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Year 1 to 5[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD](In Tsh 000)[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]Year 1[/TD]
[TD]Year 2[/TD]
[TD]Year 3[/TD]
[TD]Year 4[/TD]
[TD]Year 5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Product A[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Number of Units[/TD]
[TD][/TD]
[TD] 1,000[/TD]
[TD] 1,250[/TD]
[TD] 1,875[/TD]
[TD] 3,750[/TD]
[TD] 7,500[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Price per unit[/TD]
[TD][/TD]
[TD] 20,000[/TD]
[TD] 20,000[/TD]
[TD] 20,000[/TD]
[TD] 20,000[/TD]
[TD] 20,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Total [/TD]
[TD][/TD]
[TD] 20,000,000[/TD]
[TD] 25,000,000[/TD]
[TD] 37,500,000[/TD]
[TD] 75,000,000[/TD]
[TD] 150,000,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Product B[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Number of Units[/TD]
[TD][/TD]
[TD] 500[/TD]
[TD] 625[/TD]
[TD] 938[/TD]
[TD] 1,875[/TD]
[TD] 3,750[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Price per unit[/TD]
[TD][/TD]
[TD] 45,000[/TD]
[TD] 45,000[/TD]
[TD] 45,000[/TD]
[TD] 45,000[/TD]
[TD] 45,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Total [/TD]
[TD][/TD]
[TD] 22,500,000[/TD]
[TD] 28,125,000[/TD]
[TD] 42,187,500[/TD]
[TD] 84,375,000[/TD]
[TD] 168,750,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Product C[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Number of Units[/TD]
[TD][/TD]
[TD] 500[/TD]
[TD] 1,000[/TD]
[TD] 2,000[/TD]
[TD] 4,000[/TD]
[TD] 8,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Price per unit[/TD]
[TD][/TD]
[TD] 15,000[/TD]
[TD] 15,000[/TD]
[TD] 15,000[/TD]
[TD] 15,000[/TD]
[TD] 15,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Total [/TD]
[TD][/TD]
[TD] 7,500,000[/TD]
[TD] 15,000,000[/TD]
[TD] 30,000,000[/TD]
[TD] 60,000,000[/TD]
[TD] 120,000,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Net Revenue[/TD]
[TD][/TD]
[TD] 50,000,000 [/TD]
[TD] 68,125,000[/TD]
[TD] 109,687,500[/TD]
[TD] 219,375,000[/TD]
[TD] 438,750,000[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Huu ni mchanganuo wa 5 years revenue growth na hii ni very realistic. Hii kitu hata mtaji wake sio mwingi hivyo.
 
Aisee bwana mtanganyika niko interest tunaweza wasiliana nami
 
Mtanganyika hizi bei hapa umeweka na vat?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mtanganyika hizi bei hapa umeweka na vat?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hekimatele hiyo bei nime include everything unavyojua wewe. Nikikupa cost analysis ndio unaweza kuona kwamba hiyo revenue ni at 35% Gross Margin. Hivyo kwenye year 2 au 3 unaweza kuanza positive NI. Mkuu hii kitu nimeitazama kwa ukaribu. Only majanga ni TRA na tax zao za kishenzi shenzi, lakini VAT is not a problem.
 
Kweli kabisa kaka. TRA ni majangaaaa
 
Wandugu habari za asubuhi
Mimi ni mfanya biashara nko mkoani nafanya biashara ya viatu nauza kwa jumla na rejareja nilitaka nipanue bishara yabgu iwe ya jula tu kwa ss nilifikilia kwenda china ila nina kama milioni kumi kama mtaji tu nauli na mambo mengine niko sawa. nauliza kwa wale wazoefu naweza enda nikapata mzigo mzuri ambao utanipa faida nzuri, vp kuhusuy kodi na vitu ka hivyo na usafilishaji.
Tafadhari naomba mawazo yenu

kuna jamaa angu anafanya biashara ya viatu na huwa anachukua mzigo china ningefungua hii thread yako mapema ningekuunganisha nae maana yeye anaenda huko trh 25, hiyo 10 mill inatosha sana faida yake ukiuza kwa jumla unaweza pata mara 2 yaani total 20 mill
 
asante bwana mtukuyu unaweza nipa yake au tunaweza wasiliana namba yangu ni 0767645631 tafadhari tuwasilane ili nipate detail jinsi ya kufanya
 
Back
Top Bottom