N Nihry New Member Joined Feb 17, 2021 Posts 1 Reaction score 1 Feb 19, 2021 #1 Msadaa tafadhali,kwa biashara ya viatu ( sendo za kike) naweza anza na mtaji wa shi ngapi? Pia mzigo wanachukulia wapi kwa bei ya jumla?
Msadaa tafadhali,kwa biashara ya viatu ( sendo za kike) naweza anza na mtaji wa shi ngapi? Pia mzigo wanachukulia wapi kwa bei ya jumla?
C CDEAMHAKA Member Joined Feb 7, 2021 Posts 13 Reaction score 39 Feb 19, 2021 #2 Nihry said: Msadaa tafadhali,kwa biashara ya viatu ( sendo za kike) naweza anza na mtaji wa shi ngapi? Pia mzigo wanachukulia wapi kwa bei ya jumla? Click to expand... Viatu vya shop au mtumba maelezo yako bado hayajitoshelezii
Nihry said: Msadaa tafadhali,kwa biashara ya viatu ( sendo za kike) naweza anza na mtaji wa shi ngapi? Pia mzigo wanachukulia wapi kwa bei ya jumla? Click to expand... Viatu vya shop au mtumba maelezo yako bado hayajitoshelezii
Spectophotometer JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 295 Reaction score 468 Feb 20, 2021 #3 Nihry said: Msadaa tafadhali,kwa biashara ya viatu ( sendo za kike) naweza anza na mtaji wa shi ngapi? Pia mzigo wanachukulia wapi kwa bei ya jumla? Click to expand... Uko wapi mkuu?
Nihry said: Msadaa tafadhali,kwa biashara ya viatu ( sendo za kike) naweza anza na mtaji wa shi ngapi? Pia mzigo wanachukulia wapi kwa bei ya jumla? Click to expand... Uko wapi mkuu?
Kiti Chema JF-Expert Member Joined Oct 18, 2017 Posts 1,793 Reaction score 1,961 Feb 22, 2021 #4 Nyoosha maelezo ili usaidiwe kwa ufasaha, wapi ulipo, aina ya viatu, kama ni mtumba au spesho, na n.k
Nyoosha maelezo ili usaidiwe kwa ufasaha, wapi ulipo, aina ya viatu, kama ni mtumba au spesho, na n.k
New HIZ O Member Joined Jun 1, 2022 Posts 40 Reaction score 65 Jun 1, 2022 #6 MR AMHAKA said: Viatu vya shop au mtumba maelezo yako bado hayajitoshelezii Click to expand... Upo mkoa gan
MR AMHAKA said: Viatu vya shop au mtumba maelezo yako bado hayajitoshelezii Click to expand... Upo mkoa gan