Biashara ya viatu naweza kuanza na mtaji wa kiasi gani?

Biashara ya viatu naweza kuanza na mtaji wa kiasi gani?

Nihry

New Member
Joined
Feb 17, 2021
Posts
1
Reaction score
1
Msadaa tafadhali,kwa biashara ya viatu ( sendo za kike) naweza anza na mtaji wa shi ngapi? Pia mzigo wanachukulia wapi kwa bei ya jumla?
 
Nyoosha maelezo ili usaidiwe kwa ufasaha, wapi ulipo, aina ya viatu, kama ni mtumba au spesho, na n.k
 
Back
Top Bottom