Biashara ya viatu/sandles za kimasai

Biashara ya viatu/sandles za kimasai

mwampepe

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Posts
330
Reaction score
129
Nina mtaji wa 100000Tsh nataka kuanza biashara ya viatu/sandles za kimasai,kila kiatu kwa bei ya jumla ni 10000,mimi nitauza 15000 hadi 13000.Naomba msaada wenu wa ushauri na changamoto za biashara hii wapendwa
 
Mwampepe ni bora ukaenda iwindi au umarila na senjere hapo kuna maharage ya njano huko vijijini yapo chini ya 24,000 lakini mbeya mjini yapo bei zaidi ya hiyo au hapo kawetere juu kuna viazi na maharage pia kama unaweza kuzunguka ma ofisini hii pia utaiweza vijijini kuna hela ukileta mjini bidhaa vitu vya fashion ivyo vinasumbua kidogo kwa sasa...
 
asantee nitafanyia kazi ushauri wako
 
asantee nitafanyia kazi ushauri wako
kama upo mjini unaamka mapema sana saa moja huko nao huko unanunua bidhaa zako saa nne upo mwanjelwa unauza unajipanga kesho tena huko dili na chakula tuu kitakutoa na mwezi ujao wanaanza kuvuna nadhani..
 
Kama hutojali njoo PM kuna fursa naiona hapo mbeya tunaweza kufanya kitu.
 
Back
Top Bottom