Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama upo mjini unaamka mapema sana saa moja huko nao huko unanunua bidhaa zako saa nne upo mwanjelwa unauza unajipanga kesho tena huko dili na chakula tuu kitakutoa na mwezi ujao wanaanza kuvuna nadhani..asantee nitafanyia kazi ushauri wako