Biashara ya viatu vya mtumba

Biashara ya viatu vya mtumba

Borndi

Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
33
Reaction score
29
Wapendwa mimi Niko mkoani nimekuwa nawaza saana kufanya biashara ya viatu vya mtumba mkoa wa kigoma.

wenye uzoefu kwenye biashara hii wanisaidie tafadhali nione naanzaje..

Khasante
 
Bei ya viatu co fixed kwa7b huezi chukua mzigo wote kwa mtu mmoja lazima uzunguke sehem mbali kukusanya viatu inategemea na uchaguzi wako lakini viatu vizuri vinarange kuanzia elf 5 kwenda juu may be mpk elf 10....so cwez kusema kiasi flan kitatosha wkt bei co fixed
Hasa hasa RABA na VIATU FULANI IV VISIVYO VYA KAMBA. Vyote vya kiume.boss
 
Boss..nakuelewa saana..ofcox upo sahihi kwa usemacho..
Bei ya viatu co fixed kwa7b huezi chukua mzigo wote kwa mtu mmoja lazima uzunguke sehem mbali kukusanya viatu inategemea na uchaguzi wako lakini viatu vizuri vinarange kuanzia elf 5 kwenda juu may be mpk elf 10....so cwez kusema kiasi flan kitatosha wkt bei co fixed
 
Tunatakiwa ujue pia unalenga lika gani na jinsia.Wanunuzi wazuri ni vijana na jina mama
 
Nimefikili kufanya ivyo maana nimekuwa natafuta VIATU binfsi navikosa ndo maana nikawza kufanya ivyo

Sasa boss kama ni bei hapo kalume..ni soko gani naweza mudu??
Asante
 
Kigoma kuna wavaaji wa viatu???? Tuanzie hapo
Pia karume viatu bei ni juu sana. Watu wa Dar ndio wanamudu
Nimefikili kufanya ivyo maana nimekuwa natafuta VIATU binfsi navikosa ndo maana nikawza kufanya ivyo

Sasa boss kama ni bei hapo kalume..ni soko gani naweza mudu??
Asante
 
Wapendwa mimi Niko mkoani nimekuwa nawaza saana kufanya biashara ya viatu vya mtumba mkoa wa kigoma.

wenye uzoefu kwenye biashara hii wanisaidie tafadhali nione naanzaje..

Khasante
Nitafute ninavyo naviuza bei ya jumla. Nitakuuzia bei ndogo ambayo hujawahi kuiwazia. Kuanzia jumatatu ijayo naweza kukupigia picha ya mzigo nikakutumia, sasahivi nimesafiri.
 
Nitafute ninavyo naviuza bei ya jumla. Nitakuuzia bei ndogo ambayo hujawahi kuiwazia. Kuanzia jumatatu ijayo naweza kukupigia picha ya mzigo nikakutumia, sasahivi nimesafiri.
Na mimi nahitaji huo mzigo kama unao wa kutosha.
 
Kwanza fanya utafiti ujue uwezo wa kununua wa wateja unao walenga hii itakupa mwanga wa kujua unune viatu vya Aina gani na kwa bei gani.

Mimi nimewahi kufanya hii biashara lakini nilifilisika mara moja mil 2 yangu ikapotea hivi hivi ila nilichojifunza ni kwamba sikufanya utafiti wa kutosha nilichukulia mawazo ya watu kuwa hii biashara inalipa nikakurupuka.

Jambo la msingi usikubali kununua mabaloo wewe nenda kariakoo kasort viatu vyako vzr ukauze. Ila fikiri sana kuhusu hii biashara!!!
 
Back
Top Bottom