Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kufanya biashara ya viatu vya jinsia gani?Nakushukuru boss... Lkn vip nikiwa na kitita cha shingp itakuwa furesh??
Hasa hasa RABA na VIATU FULANI IV VISIVYO VYA KAMBA. Vyote vya kiume.boss
Bei ya viatu co fixed kwa7b huezi chukua mzigo wote kwa mtu mmoja lazima uzunguke sehem mbali kukusanya viatu inategemea na uchaguzi wako lakini viatu vizuri vinarange kuanzia elf 5 kwenda juu may be mpk elf 10....so cwez kusema kiasi flan kitatosha wkt bei co fixed
Sio kirahisi hivyo unavyofikiria ukienda kichwa kichwa itakula kwakoCjakupata vyema boss...yani naweza nikashindwa kuchagua vitu konki(bora)?
Nimefikili kufanya ivyo maana nimekuwa natafuta VIATU binfsi navikosa ndo maana nikawza kufanya ivyoKigoma kuna wavaaji wa viatu???? Tuanzie hapo
Pia karume viatu bei ni juu sana. Watu wa Dar ndio wanamudu
Nitafute ninavyo naviuza bei ya jumla. Nitakuuzia bei ndogo ambayo hujawahi kuiwazia. Kuanzia jumatatu ijayo naweza kukupigia picha ya mzigo nikakutumia, sasahivi nimesafiri.Wapendwa mimi Niko mkoani nimekuwa nawaza saana kufanya biashara ya viatu vya mtumba mkoa wa kigoma.
wenye uzoefu kwenye biashara hii wanisaidie tafadhali nione naanzaje..
Khasante
Kaka jifunze kuweka mambo yako private...... Ohooo. Nakukumbusha tu. Thiss is JFKwel boss...VP kwa wastp no yangu hii hapa 0765165455...
Na mimi nahitaji huo mzigo kama unao wa kutosha.Nitafute ninavyo naviuza bei ya jumla. Nitakuuzia bei ndogo ambayo hujawahi kuiwazia. Kuanzia jumatatu ijayo naweza kukupigia picha ya mzigo nikakutumia, sasahivi nimesafiri.