Uzoefu wako Kaka katika mabelo maana naona umenitaadhalishaa....sikuwepo toka mwaka janaKwanza fanya utafiti ujue uwezo wa kununua wa wateja unao walenga hii itakupa mwanga wa kujua unune viatu vya Aina gani na kwa bei gani.
Mimi nimewahi kufanya hii biashara lakini nilifilisika mara moja mil 2 yangu ikapotea hivi hivi ila nilichojifunza ni kwamba sikufanya utafiti wa kutosha nilichukulia mawazo ya watu kuwa hii biashara inalipa nikakurupuka.
Jambo la msingi usikubali kununua mabaloo wewe nenda kariakoo kasort viatu vyako vzr ukauze. Ila fikiri sana kuhusu hii biashara!!!
Last seen yake ni tokea mwaka March 2019 sijui nini kilimpata.Ningependa anipe uzoefu kwenye mbelo za mitumba.Uzoefu wako Kaka katika mabelo maana naona umenitaadhalishaa....sikuwepo toka mwaka jana
Sent using Jamii Forums mobile app
Eheee, vizuri na hongera mzee,,
Kwanza nimejifunza vitu vingi nilivyokuwa sivijui...na nibaada ya kukosa ushauri sahihi...nikaenda nikapata asara nikawa nimejifunza...Eheee, vizuri na hongera mzee,,
Ulipata mzigo kama ulivyouhitaji?
Grade A?
Ulipata wapi?
Mkuu asante sanaa,Kwanza nimejifunza vitu vingi nilivyokuwa sivijui...na nibaada ya kukosa ushauri sahihi...nikaenda nikapata asara nikawa nimejifunza...
Ngoja nikudokezee..
Kama unaaza biashara au Kama unatembe mijini ukakuta watu wameanga viatu vizuri, achana na masokoni nasemea mitahani...
Hao watu awanunui mabarao
Nakushauri chonde chondee USINUNUE MABAROO...Kununua barohoo nisawa na Kununua mbuzi kwenye gunia
Unachotakiwa kufanya Ni kufanya Peaking...kuchagua..
Means unanunua kiatu kulinga nakinayo onekana pia unapima na unakoenda kukiuzia jee kitakulipa??
Mimi nilikurupuka nikachukua barohoo 3..
Nakuka kufungua nakuta viatu vizuri kwenye pair 40 unakuta 5 au 7.....zile 35 nivya buku 3...
Kifunpi nikua kbla ujafanya HIVI jaribu kufatilia kwa wauzaji
Japo Ni wachache watakao kwambia ukwel
Sent using Jamii Forums mobile app