Biashara ya viatu vya mtumba

Biashara ya viatu vya mtumba

Nashauku umeniongezeaa ufahamu was kuwa makini...maana akili yangu ikawa inaforce kuwa nikinunua belo nitapata faida kumbee hapana...Ni kusort kimoja kimoja...
Asante Sana boss wangu....lkn pole pia kwa change Moto iyo
 
Boss ulisharudi unitumie huo mzingo nioune..
 
Kwanza fanya utafiti ujue uwezo wa kununua wa wateja unao walenga hii itakupa mwanga wa kujua unune viatu vya Aina gani na kwa bei gani.

Mimi nimewahi kufanya hii biashara lakini nilifilisika mara moja mil 2 yangu ikapotea hivi hivi ila nilichojifunza ni kwamba sikufanya utafiti wa kutosha nilichukulia mawazo ya watu kuwa hii biashara inalipa nikakurupuka.

Jambo la msingi usikubali kununua mabaloo wewe nenda kariakoo kasort viatu vyako vzr ukauze. Ila fikiri sana kuhusu hii biashara!!!
Uzoefu wako Kaka katika mabelo maana naona umenitaadhalishaa....sikuwepo toka mwaka jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada vipi, ulijitosa ukafanya?
au yeyote humu?
 
Kununua ktk mabaloo ni bora zaidi lkn kuna mabaloo Fulani ambayo hufungwa sana hupelekea viatu kukatika sasa hapa mpka niulize ili baloo ambalo linakuwa na vatu vizima , kama utakuwa umedhamilia nifute mp ili nikuulizie kwa watu,alafu kuhusu haya mabalo ya viatu au nguo nahisi huko kidoma **** mahali wanauza jalibu kupepeleleza , embu waza utoke kigoma uje dar ukusanje mzigo tena kwa kuuunga Unga mara karume nk kisha urudi nao kigoma utakuwa umetimia pesa kiasi gani mpaka ikulipe? Dar unao ndugu jamaa au marafiki? Kama hauna itakulazimu kula hotel kulala test waza haya kabla hujawaza kuuza hivyo viatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eheee, vizuri na hongera mzee,,
Ulipata mzigo kama ulivyouhitaji?
Grade A?
Ulipata wapi?
Kwanza nimejifunza vitu vingi nilivyokuwa sivijui...na nibaada ya kukosa ushauri sahihi...nikaenda nikapata asara nikawa nimejifunza...
Ngoja nikudokezee..
Kama unaaza biashara au Kama unatembe mijini ukakuta watu wameanga viatu vizuri, achana na masokoni nasemea mitahani...
Hao watu awanunui mabarao

Nakushauri chonde chondee USINUNUE MABAROO...Kununua barohoo nisawa na Kununua mbuzi kwenye gunia

Unachotakiwa kufanya Ni kufanya Peaking...kuchagua..
Means unanunua kiatu kulinga nakinayo onekana pia unapima na unakoenda kukiuzia jee kitakulipa??

Mimi nilikurupuka nikachukua barohoo 3..
Nakuka kufungua nakuta viatu vizuri kwenye pair 40 unakuta 5 au 7.....zile 35 nivya buku 3...

Kifunpi nikua kbla ujafanya HIVI jaribu kufatilia kwa wauzaji
Japo Ni wachache watakao kwambia ukwel

Mkuu asante sanaa,
Kwa kweli kuhusu hili kuna watu walishaniambia ila nashukuru na wews umepiga msumali wa mwishoo...

Mfano mimi nahitaji zile moka kali za ofisini, napata wapi?
 
Back
Top Bottom