CHRISSIE255
JF-Expert Member
- Jan 21, 2020
- 221
- 180
Wapendwa, poleni na majukumu.
Kuna jambo naomba mnisaidie kuhusu biashara ya viatu vya mtumba, hususani akina mama.
Kuanzisha hiyo biashara ni vitu gani muhimu napaswa kuwa navyo?
Na je, kati ya Arusha na Mwanza ni wapi naweza kupata mzigo?
Sent using Jamii Forums mobile app