Salahan
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,963
- 3,685
Bei Ya China Bila Usafiri 3500 kwa pea
Size 20-33 Pack 1
Makadirio Usafiri kwa meli 1000-2000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo)
Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45
Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 300
Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 200 kila pea
*****************************************************************
Gharama kiujumla
Bei ya kiatu3500+Usafiri 1000+Mimi 200=4700
4700x300=1,410,000 Gharama Kiujumla
Unaweza kulipa kwa hatua tatu
1.Bei 3500x300=1,050,000 hapa tunanunua na kuanza usafiri
2.Usafiri 1000x300=300,000 unalipia baada ya mzigo kufika (siku 30-45 tangu siku ya manunuzi)
3.Gharama zangu 200x300=60,000 unalipia baada ya kupokea mzigo wako
******************************************************************************
Biashara Hii Bongo
Bei kwa katoni (pea 30) kila pea 6000
Bei kwa dazeni (pea 12) kila pea 7000
Bei Kwa Jumla (pea 5) kila pea 8000
Bei rejareja (pea 1) 10000-15000
********************************************************************
Karibuni Nitaendelea kupost bidhaa zaidi kulingana na muitikio wenu
Salim Mhina
0713055107
Morogoro Mjini