Biashara ya viazi Njombe

Biashara ya viazi Njombe

Msaada anayefahamu bei ya jumla kwa gunia la viazi mkoani Njombe na bei ya kusafirishia kutoka Njombe hadi Dar es salaam.
Wasalaam Mkuu.

Naandika hapa kama mfanyabiashara Mstaafu wa zao la viazi mviringo. Huenda bei nitakazozitaja zitakatofautiana kulingana na kipindi ambacho mimi nilikoma kufanya biashara.

Lakini naamini figures tu ndizo zitakazobadilika. Mengine yote labda kwa uchache wake. Ambatana nami.

Moja, Mkuu kabla ya kuifanya hii biashara tambua kuwa viazi mviringo ni bidhaa inayoharibika kwa upesi. Na hivyo linahitaji soko la haraka zaidi. Na kwa kuwa vinaharibika haraka kulingana na mazingira ya Dar es Salaam basi uwezekano wa kupata hasara upo. Lakini ni biashara inayotengeneza faida nzuri pia.

Pili, ili hii biashara uifanye kwa ustadi inakupasa ujue aina ya viazi. Kujua huko aina ya viazi itakusaidia kuchukua mzigo utaouzika sokoni kwa uharaka. Viazi vinavyofanya vizuri sokoni ni OBAMA, CAP. Hii ni kwa sababu viazi hivi vinatumia mafuta machache kuiva na inapendeza machoni. Tambua ya kuwa viazi vingi Dar es Salaam hutumika kwa ajili ya Chips. Viazi aina ya AHSANTE MZUNGU pamoja na KIDING'A ni vizuri mno, ila wafanyabiashara hawavitaki. Ni vitamu na vina unga mwingi sana ila vinatumia mafuta mengi. Ni vizuri kwa ajili ya Supu. Epuka kuvileta.

Tatu, bei ya viazi hupanda na kushuka kutegemeana na hali ya soko la viazi Mabibo. Magari yakiwa machache Mabibo basi bei ya viazi inakuwa juu sana. Magari yakijaa basi bei hushuka. Kingine kinachoshusha bei ya viazi ni aina ya kiazi na muda kiazi kilipofikishwa. Unapaswa kuwasilia na dalali wako kila iitwapo leo. Ujue bei ya sokoni.

Nne, viazi vingi vinapatikana Njombe na Mbeya. Ila gharama za gari kutoka Mbeya mpaka Mabibo ni ghali kulinganisha na bei kutoka Njombe. Gari hutofautiana kulingana na ukubwa wake. Na ukubwa hutofautiana na ukubwa wa mzigo wako. Canter, Tantum na Semi Trailer. Kwa wakati wangu, Tantum lenye kubeba gunia 210 mpaka 220 ilikuwa Million 2 mpaka 2.2m. Hela ya gari isikuheue. Hupaswi kulipa yote at per. Unaweza kutoa advance ya 500k kisha nyingine utamalizia ukishauza. Kumbuka, kiazi huuzwa juu ya gari mpaka iishe. Na matajiri wa gari hutoa siku mbili tu au tatu kwa uchache uwe umeshauza mzigo wako wote.

Tano, ni wakulima wachache wanaouuza viazi vyao wenyewe. Kule vijijini kuna Madalali wenye pesa balaa. Kipindi cha kulima wanatoa Mbolea kwa mkopo kwa Wakulima. Kwa miadi kuwa yeye ndiye atauza viazi vyake vitakapokomaa. Okoa muda wako kuongea na Mkulima, mtafute dalali wake. Kuwa nao makini sana. Kwa sababu nao hupiga simu kila siku Mabibo kuulizia bei ya kiazi. Kuna kipindi bei hutoka kati ya Tsh 11,000 mpaka Tsh 30,000 kwa kale kagunia kadogo. Hapo inajumuisha bei kiazi, mfuko,ushonaji, upakiaji,hela ya dalali pamoja na bei ya ushuru wa mazao.

Sita, mzigo ukishafika Mabibo huwa ni wa dalali. Kila dalali ana wateja wake na vichalii vinavyomsaidia. Mimi nilikuwa namtumia Dalali Majata. Kwa kila gunia, dalali huchukua kiasi cha Tsh 2,000. Hata ukiuza gunia Tsh 10,000 yeye atakata 2,000 haijalishi umepata faida au hasara. So far, dalali niliyekuwa namtumia alionyesha uamifu kama kuna ujanja ujanja basi kuwa nao makini. Unamuambia kuna idadi kadhaa ya magunia tuseme 210 basi unakaa pembeni afanye kazi yake. Anauza anakukabidhi hela yako baada ya kumlipa mwenye gari na yeye kukata hela yake. Utaenda kulia au kufurahi mwenyewe huko. Wao hawajui.

Mengine nitaendelea kujazia kadri ya Maswali. Kumbuka kuwa huenda taratibu na bei zimebadilika.
 
Pili, ili hii biashara uifanye kwa ustadi inakupasa ujue aina ya viazi. Kujua huko aina ya viazi itakusaidia kuchukua mzigo utaouzika sokoni kwa uharaka. Viazi vinavyofanya vizuri sokoni ni OBAMA, ASP. Hii ni kwa sababu viazi hivi vinatumia mafuta machache kuiva na inapendeza machoni. Tambua ya kuwa viazi vingi Dar es Salaam hutumika kwa ajili ya Chips. Viazi aina ya AHSANTE MZUNGU pamoja na KIDING'A ni vizuri mno, ila wafanyabiashara hawavitaki. Ni vitamu na vina unga mwingi sana ila vinatumia mafuta mengi. Ni vizuri kwa ajili ya Supu. Epuka kuvileta.

Tatu, bei ya viazi hupanda na kushuka kutegemeana na hali ya soko la viazi Mabibo. Magari yakiwa machache Mabibo basi bei ya viazi inakuwa juu sana. Magari yakijaa basi bei hushuka. Kingine kinachoshusha bei ya viazi ni aina ya kiazi na muda kiazi kilipofikishwa. Unapaswa kuwasilia na dalali wako kila iitwapo leo. Ujue bei ya sokoni.

Nne, viazi vingi vinapatikana Njombe na Mbeya. Ila gharama za gari kutoka Mbeya mpaka Mabibo ni ghali kulinganisha na bei kutoka Njombe. Gari hutofautiana kulingana na ukubwa wake. Na ukubwa hutofautiana na ukubwa wa mzigo wako. Canter, Tantum na Semi Trailer. Kwa wakati wangu, Tantum lenye kubeba gunia 210 mpaka 220 ilikuwa Million 2 mpaka 2.2m. Hela ya gari isikuheue. Hupaswi kulipa yote at per. Unaweza kutoa advance ya 500k kisha nyingine utamalizia ukishauza. Kumbuka, kiazi huuzwa juu ya gari mpaka iishe. Na matajiri wa gari hutoa siku mbili tu au tatu kwa uchache uwe umeshauza mzigo wako wote.

Tano, ni wakulima wachache wanaouuza viazi vyao wenyewe. Kule vijijini kuna Madalali wenye pesa balaa. Kipindi cha kulima wanatoa Mbolea kwa mkopo kwa Wakulima. Kwa miadi kuwa yeye ndiye atauza viazi vyake vitakapokomaa. Okoa muda wako kuongea na Mkulima, mtafute dalali wake. Kuwa nao makini sana. Kwa sababu nao hupiga simu kila siku Mabibo kuulizia bei ya kiazi. Kuna kipindi bei hutoka kati ya Tsh 11,000 mpaka Tsh 30,000 kwa kale kagunia kadogo. Hapo inajumuisha bei kiazi, mfuko,ushonaji, upakiaji,hela ya dalali pamoja na bei ya ushuru wa mazao.

Sita, mzigo ukishafika Mabibo huwa ni wa dalali. Kila dalali ana wateja wake na vichalii vinavyomsaidia. Mimi nilikuwa namtumia Dalali Majata. Kwa kila gunia, dalali huchukua kiasi cha Tsh 2,000. Hata ukiuza gunia Tsh 10,000 yeye atakata 2,000 haijalishi umepata faida au hasara. So far, dalali niliyekuwa namtumia alionyesha uamifu kama kuna ujanja ujanja basi kuwa nao makini. Unamuambia kuna idadi kadhaa ya magunia tuseme 210 basi unakaa pembeni afanye kazi yake. Anauza anakukabidhi hela yako baada ya kumlipa mwenye gari na yeye kukata hela yake. Utaenda kulia au kufurahi mwenyewe huko. Wao hawajui.

Mengine nitaendelea kujazia kadri ya Maswali. Kumbuka kuwa huenda taratibu na bei zimebadilika.
Umeelekeza vizuri sana
 
Wasalaam Mkuu.

Naandika hapa kama mfanyabiashara Mstaafu wa zao la viazi mviringo. Huenda bei nitakazozitaja zitakatofautiana kulingana na kipindi ambacho mimi nilikoma kufanya biashara.

Lakini naamini figures tu ndizo zitakazobadilika. Mengine yote labda kwa uchache wake. Ambatana nami.

Moja, Mkuu kabla ya kuifanya hii biashara tambua kuwa viazi mviringo ni bidhaa inayoharibika kwa upesi. Na hivyo linahitaji soko la haraka zaidi. Na kwa kuwa vinaharibika haraka kulingana na mazingira ya Dar es Salaam basi uwezekano wa kupata hasara upo. Lakini ni biashara inayotengeneza faida nzuri pia.

Pili, ili hii biashara uifanye kwa ustadi inakupasa ujue aina ya viazi. Kujua huko aina ya viazi itakusaidia kuchukua mzigo utaouzika sokoni kwa uharaka. Viazi vinavyofanya vizuri sokoni ni OBAMA, CAP. Hii ni kwa sababu viazi hivi vinatumia mafuta machache kuiva na inapendeza machoni. Tambua ya kuwa viazi vingi Dar es Salaam hutumika kwa ajili ya Chips. Viazi aina ya AHSANTE MZUNGU pamoja na KIDING'A ni vizuri mno, ila wafanyabiashara hawavitaki. Ni vitamu na vina unga mwingi sana ila vinatumia mafuta mengi. Ni vizuri kwa ajili ya Supu. Epuka kuvileta.

Tatu, bei ya viazi hupanda na kushuka kutegemeana na hali ya soko la viazi Mabibo. Magari yakiwa machache Mabibo basi bei ya viazi inakuwa juu sana. Magari yakijaa basi bei hushuka. Kingine kinachoshusha bei ya viazi ni aina ya kiazi na muda kiazi kilipofikishwa. Unapaswa kuwasilia na dalali wako kila iitwapo leo. Ujue bei ya sokoni.

Nne, viazi vingi vinapatikana Njombe na Mbeya. Ila gharama za gari kutoka Mbeya mpaka Mabibo ni ghali kulinganisha na bei kutoka Njombe. Gari hutofautiana kulingana na ukubwa wake. Na ukubwa hutofautiana na ukubwa wa mzigo wako. Canter, Tantum na Semi Trailer. Kwa wakati wangu, Tantum lenye kubeba gunia 210 mpaka 220 ilikuwa Million 2 mpaka 2.2m. Hela ya gari isikuheue. Hupaswi kulipa yote at per. Unaweza kutoa advance ya 500k kisha nyingine utamalizia ukishauza. Kumbuka, kiazi huuzwa juu ya gari mpaka iishe. Na matajiri wa gari hutoa siku mbili tu au tatu kwa uchache uwe umeshauza mzigo wako wote.

Tano, ni wakulima wachache wanaouuza viazi vyao wenyewe. Kule vijijini kuna Madalali wenye pesa balaa. Kipindi cha kulima wanatoa Mbolea kwa mkopo kwa Wakulima. Kwa miadi kuwa yeye ndiye atauza viazi vyake vitakapokomaa. Okoa muda wako kuongea na Mkulima, mtafute dalali wake. Kuwa nao makini sana. Kwa sababu nao hupiga simu kila siku Mabibo kuulizia bei ya kiazi. Kuna kipindi bei hutoka kati ya Tsh 11,000 mpaka Tsh 30,000 kwa kale kagunia kadogo. Hapo inajumuisha bei kiazi, mfuko,ushonaji, upakiaji,hela ya dalali pamoja na bei ya ushuru wa mazao.

Sita, mzigo ukishafika Mabibo huwa ni wa dalali. Kila dalali ana wateja wake na vichalii vinavyomsaidia. Mimi nilikuwa namtumia Dalali Majata. Kwa kila gunia, dalali huchukua kiasi cha Tsh 2,000. Hata ukiuza gunia Tsh 10,000 yeye atakata 2,000 haijalishi umepata faida au hasara. So far, dalali niliyekuwa namtumia alionyesha uamifu kama kuna ujanja ujanja basi kuwa nao makini. Unamuambia kuna idadi kadhaa ya magunia tuseme 210 basi unakaa pembeni afanye kazi yake. Anauza anakukabidhi hela yako baada ya kumlipa mwenye gari na yeye kukata hela yake. Utaenda kulia au kufurahi mwenyewe huko. Wao hawajui.

Mengine nitaendelea kujazia kadri ya Maswali. Kumbuka kuwa huenda taratibu na bei zimebadilika.

Asante sana mkuu, umenipa dira
 
Aina hii ya biashara, pamoja na ile ya nyanya, maembe, mananasi, matikiti, nk. Zinahitaji moyo wa kipekee kuzifanya
 
Nondo,
 
Back
Top Bottom