S U N N Y
Member
- Sep 22, 2018
- 75
- 153
UZI MAALUM WA KUSHARE MAWAZO YA BIASHARA YA VIFAA VYA PIKIPIKI NA UREMBO.
Nipo mbeya, nna myezi minne toka nianze biashara ya VIFAA VYA PIKIPIKI nimekutana na challenges nyingi kias kua nakaribia kukata tamaa Ila kabla sijakata tamaa nimeona nirukie biashara ya UREMBO wa PIKIPIKI.
ntaendelea kuweka visa nilivyokutana navyo na Mambo nilojifunza Kila siku, pia in return natarajia kupata maoni na ushauri kutoka kwa mnaofaham zaidi.