Biashara ya vinyago vipya na vyakale(antiques)

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Habari waungwana ! Ningependa niijue kwa undani biashara hii kwani huku niliko kuna uwezekano wa kuvipata kutoka kongo na wenyeji wa kigoma wa mji wa kihistoria wa ujiji wanavyo vingi wamejifungia navyo ndani .Nachotaka nijue ni masoko yake ya nje na utaratibu wa kisheria wa ku-export vitu hivi kwa njia ya posta. Asanteni.
 

Biashara ya vinyago na vitu vya kale inategemea na kinyago chenyewe, umri wake na historia iliyo nyuma yake. Wewe una access na vinyago vya era gani katika jamii ipi? ukipata mnunuzi kusafirisha mara nyingi watu wana smuggle tu, we unafikiri mizigo huwa wanakagua kilichomo?..mara chache sana. Ukisema ufuate sheria utakutana na milolongo na urasimu, wewe uza kama kinyago cha kawaida tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…