The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Habari waungwana ! Ningependa niijue kwa undani biashara hii kwani huku niliko kuna uwezekano wa kuvipata kutoka kongo na wenyeji wa kigoma wa mji wa kihistoria wa ujiji wanavyo vingi wamejifungia navyo ndani .Nachotaka nijue ni masoko yake ya nje na utaratibu wa kisheria wa ku-export vitu hivi kwa njia ya posta. Asanteni.