Biashara ya vipodozi

Biashara ya vipodozi

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
Wajasiria wenzangu

Nina mpango wa kufungua duka la vipodozi hasa hasa vya kina mama siku za karibuni.

Kwa yeyote mwenye ufahamu wa kutosha juu ya biashara hii naomba michango yenu.
 
wajasiria wenzangu

nina mpango wa kufungua duka la vipodoz hasa hasa vya kina mama siku za karibuni...kwa yeyote mwenye ufahamu wa kutosha juu ya biashara hii naomba michango yenu

una mtaj wa sh. Ngp? Na unataka kuwekeza eneo gani?
 
Eneo linamata sna. Pia vipodoz vinalipa ngoja wahusika waje wakudadavulie vzr
 
Na mimi nina wazo kama lako ngoja tupate ujuzi wa hii kitu mzee
 
Back
Top Bottom