Biashara ya vitenge

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
288
Reaction score
230
Nataka nifanye hii biashara kwenye mikoa kati ya Dar es Salaam, Arusha au Mwanza. Kuna yoyote mwenye ujuzi juu wa hii biashara?

Naomba atujuze
 
Ujuzi kivipi? haueleweki mbona?
 
cha kufanya mkuu wewe nunua hvyo vitenge vyako toka kigoma kisha anza kuvisupply hiyo mikoa uliyoitaja
hakuna cha ujuzi wowote hapo maana sijakuelewa unataka ujuzi wa nini kwenye biashara kma hiyo
 
Ujuzi kivipi? haueleweki mbona?

cha kufanya mkuu wewe nunua hvyo vitenge vyako toka kigoma kisha anza kuvisupply hiyo mikoa uliyoitaja
hakuna cha ujuzi wowote hapo maana sijakuelewa unataka ujuzi wa nini kwenye biashara kma hiyo

ujuzi wa kukopesha au upi??

Ingawa swali sio langu lakini nadhani ujuzi / ufahamu una-involve yafuatayo:-

  • Changamoto za hii biashara ni zipi ?
  • Mizigo mizuri inanunuliwa wapi ?
  • Aina gani zinapendwa ?
  • Ufahamu wa Genuine na Fake
  • Aina zinazopendwa
  • Bei n.k.
Ninachojaribu kusema hakuna kitu ambacho hakina ujuzi (Secrets of the Trade) AKA Siri ya Mtungi... Ndio maana wewe unaweza kufanya kile kile kama mwingine na wewe usipate kitu wakati unaona mwenzako anachekelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…