Kama uko tayari kusacrifice sehemu fulan ya maisha yako kwa ajili ya kusaka opportunities, basi unaweza kwenda na si vibaya. Nachosema ni kuwa kama wewe ni mtu ulie na familia hapa na unadhani utakuwa unakwenda na kurudi kama unavyoutoa mchele Mbeya na kuuleta Dar-es-salaam, ni vyema ukachukua muda kuchunguza hali ya kibiashara na kisiasa ya huko kabla ya kufanya maamuzi usiyoweza kuyareverse kwa sababu kuna taarifa pia kuwa Wasudan nao wanadhulumu sana ingawa kwa kweli bei ya mazao huko ni nzuri sana, hasa nafaka na mihogo mikavu a.k.a Makopa. Nasema haya kwa sababu nayafanyia kazi