CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
SOUTH AFRICA wanahitaji alizeti,dagaa,mchele,viungo,karafuu etc
Wanahitaji alzeti Mbegu? Ila nijuavyo kuingiza kitu kinaitwa chakula South Africa kuna Process za kutosha, wale jamaa hawako tofauti na Nchi za Ulaya, unahitaji kibali kutoka kwenye Shirika lao la Viwango, so ni bora watuwajikite South Sudani, Africa kusini kuna Ugumu fulani hasa kwenye maswala ya Vyakula,