LaplaceTransformation
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 776
- 677
Wewe ni dopeless kabisa!! Hakuna bihashara ya oil chafu kwa Jiji la Dar es salaam labda kama unamaanisha bihashara ya oil chafu katika jiji la Dar es salaam.wakuu naomba kufahamishwa juu ya biashara ya oil chafu..kwa jiji la dar es salaam
sawa mkuu naomba muongozo wa hiyo biashara kama unaifahamu vizurWewe ni dopeless kabisa!! Hakuna bihashara ya oil chafu kwa Jiji la Dar es salaam labda kama unamaanisha bihashara ya oil chafu katika jiji la Dar es salaam.
ondoa shaka mkuu,nitaupokea tu.Naogopa hilo jina lako kwani nikitoa ushauri utaweza kuupokea ?
contaminated na nini mkuu?ni nzuri, ila isiwe contaminated.
na maji au oil ya diesel na petrol?ni nzuri, ila isiwe contaminated.
sawa mkuu hata mimi kuna jamaa nilikutana nae akaniambia amejenga kwa biashara hyo lakini hakunipa undani wake akawa ananifichaKuna mzee mmoja maeneo ya Kawe anaonekana na nguo chafu zilizochafuka kwa oil na madumu yake mkononi . Nolipomuuliza kulikoni kanijuza keshajenga nyumba mbili kwa kuuza oil mchafu . Namfuatilia kwa makini nikipata somo nitakujuza . Niliposema naogopa jina ni utani tu wa JF
na maji au uchafu mwingine some times hata na hydraulic oilna maji au oil ya diesel na petrol?
Ok..soko lake linapatikana wap?na maji au uchafu mwingine some times hata na hydraulic oil
Kwa huko mwanza liter shiling ngap?soko lipo ni kubwa kwa huku mikoani nipo MWANZA, cjui kwa DAR
mia tanoKwa huko mwanza liter shiling ngap?
Sawaa mkuum
mia tano
Hakuna bihashara kuna biasharaWewe ni dopeless kabisa!! Hakuna bihashara ya oil chafu kwa Jiji la Dar es salaam labda kama unamaanisha bihashara ya oil chafu katika jiji la Dar es salaam.