Biashara ya waste engine oil (oil chafu)

Kuna mzee mmoja maeneo ya Kawe anaonekana na nguo chafu zilizochafuka kwa oil na madumu yake mkononi . Nolipomuuliza kulikoni kanijuza keshajenga nyumba mbili kwa kuuza oil mchafu . Namfuatilia kwa makini nikipata somo nitakujuza . Niliposema naogopa jina ni utani tu wa JF
 
sawa mkuu hata mimi kuna jamaa nilikutana nae akaniambia amejenga kwa biashara hyo lakini hakunipa undani wake akawa ananificha
 
NIlikuja mbio nikijua kuna mwenye kuelewa namna inavyokuwa refined.
 
Back
Top Bottom