Yani hapo kwenye post yako tayari umeshajipa na ushauri pia
Kwa wine chupa 50 ni sawa na faida ghafi ya Tshs 50 x 2500 = 125,000/=. Ukiondoa usafiri, chakula, Malazi na matumizi mengine = haitakulipa.
Kampuni ya Shubi Vintners Co Ltd tupo Dodoma!!Wandugu ushauri please nataka kufanya biashara ya wine kama dompo,bihawana,image,dodoma wine,hombolo nk kutoka dodoma na kupeleka mikoani kama mbeya,songea nk nimepeleleza soko la huko kwa bei ya jumla wananunua na wanahitaji kwa sh 10,000/= na huku kiwandani wanauza wastani wa sh 7,500 moja nataka nianze na wine 50...naombeni mawazo yoyote ya kujenga katika hilo please....
Royale Wine 🍷Wandugu ushauri please nataka kufanya biashara ya wine kama dompo,bihawana,image,dodoma wine,hombolo nk kutoka dodoma na kupeleka mikoani kama mbeya,songea nk nimepeleleza soko la huko kwa bei ya jumla wananunua na wanahitaji kwa sh 10,000/= na huku kiwandani wanauza wastani wa sh 7,500 moja nataka nianze na wine 50...naombeni mawazo yoyote ya kujenga katika hilo please....