Biashara ya wine kutoka Dodoma

Biashara ya wine kutoka Dodoma

mburura

New Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Wandugu ushauri please nataka kufanya biashara ya wine kama Dompo, Bihawana, Image, Dodoma wine, Hombolo nk kutoka Dodoma na kupeleka mikoani kama Mbeya, Songea nk nimepeleleza soko la huko kwa bei ya jumla wananunua na wanahitaji kwa sh 10,000/= na huku kiwandani wanauza wastani wa sh 7,500 moja nataka nianze na wine 50.

Naombeni mawazo yoyote ya kujenga katika hilo please.
 
tunakutakia kila la kheri ni vyema kujaribu kuliko kukata tamaa
 
Ni vizuri ukasoma kwanza soko,sidhani kama ni busara kujua bei ya kiwandani kabla hajafahamu soko lako.

Kama umeshachunguza na kujua mahali ambapo utauza ni vizuri Ndugu.
 
Last edited by a moderator:
Yani hapo kwenye post yako tayari umeshajipa na ushauri pia
 
Kwa wine chupa 50 ni sawa na faida ghafi ya Tshs 50 x 2500 = 125,000/=. Ukiondoa usafiri, chakula, Malazi na matumizi mengine = haitakulipa.
 
Kwa wine chupa 50 ni sawa na faida ghafi ya Tshs 50 x 2500 = 125,000/=. Ukiondoa usafiri, chakula, Malazi na matumizi mengine = haitakulipa.

Nakubalîana na wewe,then hujaweka risk ya chupa kupasuka njiani.itakulipa if una mtaj wa kupeleka zaidi ya chupa 300 za wine.
 
ni vzuri lakin lazima ufanye cost analysis, market survey na ufanye risk analysis ni vizuri kama utakuwa na wateja wa uhakika kwa kuongea nao na kukubaliana nao uwapelekee na wateja wako wakuu ni mabaa grocery na hotel pia kama utawaza uwe na flame kwa ajiri wateja wengneo but i hope kama utakuwa strategic itakulipa
 
Wine 50? mkuu ni ndogo sana utapata faida gani hapo?
Fanya biashara nyingine ya kuzungusha huo mtaji
ujipange kutengeneza wine zako mwenyewe

ukiwa tayari ni PM nikupe elimu ya kutengeneza wine mkuu.
 
Wandugu ushauri please nataka kufanya biashara ya wine kama dompo,bihawana,image,dodoma wine,hombolo nk kutoka dodoma na kupeleka mikoani kama mbeya,songea nk nimepeleleza soko la huko kwa bei ya jumla wananunua na wanahitaji kwa sh 10,000/= na huku kiwandani wanauza wastani wa sh 7,500 moja nataka nianze na wine 50...naombeni mawazo yoyote ya kujenga katika hilo please....
Kampuni ya Shubi Vintners Co Ltd tupo Dodoma!!

Tunazalisha na kuuza wine 🍷 aina ya Royale, tuna package ya nusu lita, lita 1, lita 3, lita 5, lita 20 na ml 200.

Lita 5 ni 25,000/=, weka oda yako 0713 574 314

Mkazi wa Dodoma utafikishiwa mpaka ulipo, nje ya Dodoma tunakutumia.

Karibuni wote, wafanya biashara na hata kwa ajili ya kunywa nyumbani
 
Wandugu ushauri please nataka kufanya biashara ya wine kama dompo,bihawana,image,dodoma wine,hombolo nk kutoka dodoma na kupeleka mikoani kama mbeya,songea nk nimepeleleza soko la huko kwa bei ya jumla wananunua na wanahitaji kwa sh 10,000/= na huku kiwandani wanauza wastani wa sh 7,500 moja nataka nianze na wine 50...naombeni mawazo yoyote ya kujenga katika hilo please....
Royale Wine 🍷
Lita 5 kama hii utaipata kwa Tsh. 25,000/=
Mkazi wa Dodoma utaletewa ulipo, nje ya Dodoma tunakutumia.

Weka oda yako whtsp au piga 0713 574 314
 
Back
Top Bottom