Biashara ya yeboyebo kutoka Malawi

Joined
Apr 12, 2018
Posts
71
Reaction score
33
Habarini wanajamvi,

Heshima kubwa kwenu maana mmekuwa msaada Sana kwa vijana katika harakati za kujikomboa na umaskini na kuacha utegemezi wa ajira baada ya kumaliza vyuo maana umekuwa kizungumkuti Sana.

Nipo hapa mbele yenu nikiuliza na kuomba mwenye connection au uelewa wa jinsi ya kupata mzigo wa mayeboyebo kutoka kiwandani Malawi maana yamekuwa na soko ukilinganisha na ya Tanzania.

Nataka kujiweka katika biashara hii naombeni mawazo ushauri na usaidizi jinsi ya kupata mzigo directly kutoka Malawi, nimeambatanisha mfano wa yeboyebo hizo hapo chini.

Kwa habari nzuri waweza nicheki DM au kwa email williamzdetony@gmail.com View attachment 2448158


 
Kwani zinauzwa bei gani hapo mbeya nikupe mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…