Biashara ya yeboyebo

Umechanganya ID mkuu 😁
😀hapana nafahamu nachofanya n am free with it as siibi wala kufanya baya lolote, niko na IDs mbili na natumia yeyote nayojisikia wakat huo,JF since 2012 leo hii nishindwe handle minor stuffs kama hizi?
 
Hajui huyu I'd ya pili huwa hatufungui thread tuliyoanzisha kwa I'd nyingine
hapana nafahamu nachofanya n am free with it as siibi wala kufanya baya lolote, niko na IDs mbili na natumia yeyote nayojisikia wakat huo,JF since 2012 leo hii nishindwe handle minor stuffs kama hizi?Back to topic YES nahitaji pia
 
Anhaaa let's talk.. hizo yebo hapo zina bei tayari na zipo sehem nyingine nyingi tu. Hizi zinauzwa Kiroba chenye pea 60
 
Nina wazo la kuanza kufanya biashara ya yeboyebo ninaomba msaada wenu wadau kwa anaejua machimbo na namna gani nifanye hii biashara nifanikiwe.

Pia niwe na mtaji kiasi gani ili kufanikiwa katika hii biashara.
Mtaji wa laki 8 ni standard nzur japo sio mkubwa kwa kuangalia kigezo cha varieties au upate mtu wa kuchanga nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…