Habari,
Lengo la uzi huu ni kufahamu namna ya biashara ya youtube inavofanyika, maana tumeona kuna wimbi kubwa sana la channel za habari kwenye mtandao wa YouTube.
Binafsi sio mtaalamu ila naomba wale waliofanikiwa kupitia biashara hii ya kuuza maudhui YouTube watupe shuhuda zao, jinsi walivofanikiwa.
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app