Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 376
- 127
Uko wapi mkuu? nataka nianze hii biasharaKwa wale wanaotaka kununua zao la KAHAWA ya Maganda, muda ni sasa. Kipimo ni Dumla Kwa Sh. 4,000/=
Dumla inatoa kilo moja mpaka kilo mmss..wm,oja na robo ikiwa Kavu. Bei ya kilo Kwa kahawa Kavu ni 7,000/= na hiyo ni bei ya mwaka Jana. Mwaka huu unatarajiwa kuwa zaidi ya hapo.
Mimi nimeshaanza. Tunaweza kuwasiliana.
Ukishanunia kahawa mbichi unakoboa, kisha unaanika. Gharama za kukoboa ni wewe kukubaliana na wenye mashine. Zaidi utafute MTU mzoefu na mkubaliane. Kila la kheri
Boss bado unafanya biashara ya kahawaKwa wale wanaotaka kununua zao la KAHAWA ya Maganda, muda ni sasa. Kipimo ni Dumla Kwa Sh. 4,000/=
Dumla inatoa kilo moja mpaka kilo mmss..wm,oja na robo ikiwa Kavu. Bei ya kilo Kwa kahawa Kavu ni 7,000/= na hiyo ni bei ya mwaka Jana. Mwaka huu unatarajiwa kuwa zaidi ya hapo.
Mimi nimeshaanza. Tunaweza kuwasiliana.
Ukishanunia kahawa mbichi unakoboa, kisha unaanika. Gharama za kukoboa ni wewe kukubaliana na wenye mashine. Zaidi utafute MTU mzoefu na mkubaliane. Kila la kheri
Nipe number boss...ugonile ulinkafudah nimekutana na huu uzi , kuna jamaa yangu hii ndio biashara yake miaka mingi na inamsaidia sana
Nitakutumia. Ila mavuno Kwa mwaka Huu ni kuanzia mwezi September...! Na bei ya mwaka Huu tutaanza kuijua mwezi July. Ni biashara nzuri..! Wanunuzi WA mwanzo mwanzo wananufaika Sana. Kwa sababu wananunua kahawa Kwa bei ndogo koz watu wanakuwa na Shida na pesa.Nipe number boss...ugonile ulinkafu
Ndio. Ila mwaka Huu tunaanza mwezi September. Na bei elekezi itatangazwa mwezi July. Karibu Sana MbingaBoss bado unafanya biashara ya kahawa